BY  ISAYA BURUGU,13TH MARCH,2023-Kinara wa Azimio Raila Odinga na viongozi wengine wa mungano huo hivi leo wametua kaunti ya Kilifi kuendeleza wito kwa wafuasi wa mungano huo kushinikiza serikali kukabiliana na changamoto zinazokumba nchi.Akizungumza katika mkutano kule Mutwapa,Odinga ameshikilia msimamo wake kuwa ni sharti serikali ya Kenya kwanza ijitayarishe kwa kipindi cha makabiliano yatakayopelekea wananchi kukombolewa.

Usemi wa Odinga ukiungwa mkono na kinara wa wiper Kalonzo Musyoka.

.Odinga ameandamana na kati ya wengine gavana wa Kilifi Gideon Mungaro,mwenzake wa Mombasa Abswamad Nasir,kinara wa Narck Kenya,Martha  Karua,katibu mkuu wa Jubilee Jeemiah,Kiaoni ,kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka kati ya wengine.

 

 

March 13, 2023