BY ISAYA BURUGU,1ST APRIL,2023-Naibu rais Rigathi Gachagua hivi leo ameongoza viongozi wengine katika hafla ya maombi ya kutoa shukrani  kwa makanisa kadhaa eneo bunge la Malaa kaunti ya kakamega.Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula  na mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi ni miongoni mwa waliohudhuria hafla hiyo.

Hafla hiyo imewaleta Pamoja maafisa w angazi za juu serikalini.Hafla hiyo pia imeyaleta Pamoja makanisa kutoka kaunti za kakamega na Uasin Gishu .

Farouk Kibet  ambaye ni msimamizi wa mungano wa makanisa 40  pia alihudhuria.Kibet ni msimmamizi wa makanisa 40 yanayoptaikana eneo la magagiribi na eneo pana la bonde la ufa.

Pia hutumia fursa hiyo kusaidia taasisi za kidini  kupata rasilimali  hitajika kuziwezesha kuwa imara.Pia amehudumu kwa muda mrefu kama msaidizi wa rais Wiliam Ruto.

 

 

 

 

April 1, 2023