BY ISAYA BURUGU,18TH APRIL,2023-Gavana wa Mombasa Abduswamad Nasir amejitenga na mandamano yaliyopangwa na mungano wa Azimio la umoja.Swamada amesema hayo alipotmbelewa na  mkuu Waziri Musalia Mudavadi.Hata hivyo gavana huyo ameiataka serikali kuu kuhakikisha kuwa mgao wa fedha uliyotengewa serikali za kaunti unatumwa kwa wakati bila kuchelewa.Pia amesema upinzani una haki kikatiba kushiriki mandamano

Kwa upande wake Mudavadi amesema kuwa wakati wa uchaguzi umepita na sasa ni wakati wa kuwafanyia wananchi kazi na kuutaka murengo wa upinznai kuheshimu uamuzi wa mahakama ya upeo kuhusu uchaguzi  wa urais.

 

 

 

 

 

April 18, 2023