BY ISAYA BURUGU 9 MAY 2023-Mawakili wa mhubiri Ezekiel Odero wanaitaka serikali kufungua akaunti 15 za mhubiri huyo zilizofungwa.Mawakili wake Danstan Omari na Cliff Ombeta wamesema hatua ya kufungwa kwa akaunti hizo kumesababisha dhiki na mahangaiko kwa Zaidi ya wanafuzni 100  kutoka familia maskaini wanaolipiwa karo na mhubiri Ezekiel huku shule zikifunguliwa rasmi jana.

Wakizungumza na wandishi habari huko momabsa hivi leo wameikashfu serikali kwa kuendelea kutatiza mkondo wa haki kwenye swala hilo.

.

Kwa upande wake wakili Cliff Ombeta  amesema ni dhulma inayofanywa makusudi na serikali.

 

 

 

 

 

 

 

 

May 9, 2023