BY ISAYA BURUGU 20TH MAY 2023-Kenya inaungana na ulimwengu leo kuadhimisha siku ya ufugaji wa nyuki wito ukitolewa kwa wakulima kupunguza matumizi ya dawa iliyo na kemikali katika mimea hali ambayo inaadhari nyuki na wadudu wengine.

Ni kutokana na mtumizi hayo ya dawa kwenye mimea ambapo watalamu wanasema idadi ya nyuki inazidi kupungua kote duniani jambo ambalo huenda likawa na adhari za binadamu na Wanyama kote duniani.

Profesa Eliud Muli kutoka chou kikuu cha SEKU anasimulia.

.Hafla ya maadhimisho hayo humu nchini inaandaliwa huko Marigati kaunti ya Baringo.

 

 

 

 

 

May 20, 2023