Dereva wa basi la abiria lililohusika katika ajali eneo la Twin Bridge mnamo Jumanne, Januari 7, ashtakiwa. January 11, 2024
Serikali yapania kusitisha uagizaji wa chakula kutoka nje katika muda wa miaka 10 ijayo. January 10, 2024
Rais William Ruto atangaza kuwa serikali itakomesha mahitaji ya viza kwa wageni wanaozuru nchini kutoka kote duniani kuanzia Januari 2024. December 12, 2023
Waziri wa Kawi aonya kuhusu kukatika kwa umeme tena ikiwa uwekezaji unaofaa hautatekelezwa. December 11, 2023