Rais William Ruto amezindua rasmi vifaa vya afya vitakavyotumiwa na wahudumu wa afya wa kijamii. September 25, 2023
TSC yawaagiza maafisa wote wa nyanjani ambao wako likizoni kurejea kazini kabla ya mitihani ya kitaifa kung’oa nanga. September 25, 2023
Waziri wa Usalama wa Ndani Kithure Kindiki apiga marufuku mikutano ya Gavana wa Meru Kawira Mwangaza maarufu okolea. September 23, 2023
Amri yatolewa ya kuwaua wahalifu wowote wanaolenga maafisa wa usalama au kambi za usalama. September 22, 2023
Mahakama ya Mizozo ya Vyama vya Kisiasa yaongeza muda wa agizo la kukizuia chama cha ODM kuwatimua wabunge watano. September 22, 2023