Rais William Ruto afungua rasmi afisi mpya za UDA eneo la Kati katika mji wa Nyeri. September 9, 2023
Naibu mkuu wa majeshi ya Kenya Luteni jenerali Jonah Mwangi asema kuwa zoezi la usajili wa makurutu lilikuwa huru na wa haki. September 9, 2023
NACADA yabaini kwamba dawa za kulevya zinazosababisha watu kupoteza fahamu inayojulikana kama Fentanyl hazijaingia nchini. September 8, 2023
Wakfu wa Safaricom kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Narok watia saini mkataba wa matibabu ya bure. September 7, 2023