Aliyekuwa mbunge wa malindi Aisha Jumwa apata afueni baada ya ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma kuondoa kesi ya ufisadi dhidi yake. October 12, 2022
Wakaazi wa eneo la Amhara nchini Ethiopia wamewashutumu wapiganaji kutoka eneo la Tigray kwa unyanyasaji ikiwa ni pamoja na mauaji ya kiholela. October 12, 2022