Huku Kenya ikiadhimisha siku ya utamaduni, baadhi ya wananchi wachanganyikiwa kuhusu kinachosherehekewa hivi leo. October 10, 2022
Mashambulizi ya makombora katika miji ya Ukraine ukiwemo mji mkuu wa Kyiv, yamesababisha vifo vya watu kadhaa na wengine kujeruhiwa . October 10, 2022