Wakaazi wa eneo la Amhara nchini Ethiopia wamewashutumu wapiganaji kutoka eneo la Tigray kwa unyanyasaji ikiwa ni pamoja na mauaji ya kiholela. October 12, 2022