Shirika la afya duniani lapania kuanza majarabio ya chanjo dhidi ya virusi vya Ebola nchini Uganda October 6, 2022
Wakili Paul Gicheru anazikwa hivi leo katika Kijiji cha weda Kabatini eneo bunge la Bahati kaunti ya Nakuru. October 6, 2022
Mbunge wa Sirisia John Waluke kutumikia kifungo chake cha miaka 67 gerezani baada ya mahakama kuu kutupilia mbali rufaa yake. October 6, 2022
Rais William Ruto aelekea nchini Ethiopia kwa mazungumzo na waziri mkuu wa taifa hilo Abiy Ahmed October 6, 2022