Kesi ya ufisadi iliyokuwa ikimkabili aliyekuwa gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu yatupiliwa mbali kutokana na ukosefu wa ushahidi wa kutosha. October 6, 2022
Serikali ya Narok yaahidi kujenga kiwanda cha maziwa ili kuwawezesha wakaazi wa kaunti hiyo haswa wafugaji. October 6, 2022
Shirika la afya duniani lapania kuanza majarabio ya chanjo dhidi ya virusi vya Ebola nchini Uganda October 6, 2022
Wakili Paul Gicheru anazikwa hivi leo katika Kijiji cha weda Kabatini eneo bunge la Bahati kaunti ya Nakuru. October 6, 2022
Mbunge wa Sirisia John Waluke kutumikia kifungo chake cha miaka 67 gerezani baada ya mahakama kuu kutupilia mbali rufaa yake. October 6, 2022