BY ISAYA BURUGU 27TH JUNE 2023-Mungano wa Azimio la     umoja one Kenya leo unaanza mkutano wa umma katika  uwanja wa kamkunji jijini Nairobi.

Mkutano huo unajiri siku moja tu baada ya rais Wiliam Ruto kutia Saini maswada wakifedha wa mwaka 2023 kuwa sheria.

Azimio imekuwa ikilalamikia sheria hiyo ikisema itapelekea Maisha kwa mwananchi kuwa magumu Zaidi.

Azimio imekososoa serikali ya Kenya Kwanza kwa kupitishwa kwa sheria hiyo.Kwa upande wake serikali imeonya Azimio dhidi ya kuzua furugu dhidi ya kuandaa mandamano yatakayotatiza shughuli za wannachii.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

KONGAMANO LA WALIMU

June 27, 2023