Gavana wa kaunti ya Nairobi John Sakaja ameteua bodi mpya ya usimamizi katika hospitali ya Mama Lucy, baada ya tukio la kuhuzunisha lililonaswa kwenye video zilizosambaa mitandaoni.
Kanda hiyo ilonyesha mama mjamzito aliyekuwa amelala nje ya lango la hospitali hiyo akitafuta huduma za matibabu, kabla ya taarifa kuibuka kwamba mama huyo alimpoteza mwanawe baada ya kufanyiwa ucunguzi wa kina. Katika taarifa iliyochapishwa leo kutoka kwa ofisi ya Gavana Sakaja,
Bodi mpya ya hospitali hiyo itajumuisha:
- Bi Dorcas Kemunto – Mwenyekiti.
- Dk. Bernard Gituma – Katibu
- Mhe. Christopher Githinji – Mwakilishi wa bunge la kaunti Pamoja na:
- Jennifer Mumbua Mutunga – Mwanachama
- Susan Wanjiru Kamau – Mwanachama
- Yvonne Peris Alera Makokha – Mwanachama
- Ronald Ngala Oniango – Mwanachama
- Fridah Wambui Nduati – Mwanachama.
I have spoken to the lady (name withheld for patient privacy) who lost her baby at Mama Lucy Kibaki Hospital and her family and offered my heartfelt condolences and support.
In as much as there have been several notable improvements at Mama Lucy, a lot remains to be done. I… pic.twitter.com/wwKCKLDewy
— Sakaja Arthur Johnson (@SakajaJohnson) April 17, 2023