Bangladesh Interim

Muhammad Yunus Ateuliwa Kuiongoza Serikali ya Mpito ya Bangladesh.

Muhammad Yunus, mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, ameteuliwa kuongoza serikali ya mpito ya Bangladesh baada ya Sheikh Hasina, kujiuzulu na kuikimbia nchi hiyo kufuatia maandamano makubwa yaliyoongozwa na wanafunzi wa vyuo vikuu ya kupinga utawala wake. Yunus, ambaye amekuwa mkosoaji…

sIKU YA uTAMADUNI

Kenya Kuungana na Ulimwengu Kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Utamaduni.

Siku ya leo, Kenya inaungana na mataifa mengine kote ulimwenguni katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Utamaduni na Tofauti za Kijamii. Maadhimisho haya, ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 21 Mei tangu mwaka wa 2005, yananuia kusherehekea utofauti wa kijamii na kuimarisha…

Papa Francis

Papa Francis Asema Hana Nia ya Kujiuzulu Kutokana na Afya Njema

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis, ameeleza kwamba hana nia ya kujiuzulu kutoka kwa wadhifa huo, akisema kwamba afya yake inamruhusu kuendelea na majukumu yake. Kauli hii imetolewa kupitia kitabu kipya ambacho dondoo zake zimechapishwa katika gazeti la Italia, Corriere della…

Gaza

Msaada wa Dharura Unahitajika Gaza Baada ya Wiki 3 za Mashambulizi, UN Yasema.

Umoja wa Mataifa umesema leo kuwa msaada usio na kikomo unahitajika Gaza ikiwa ni baada ya wiki tatu za mashambulizi ya Israel ya kujibu uvamizi uliofanywa na Hamas kusini mwa Israel mnamo Oktoba 7. Mashambulizi hayo yaliyoanza mapema mwezi huu, yamechochea mgogoro…

Papa Francis

Papa Francis Aipongenza Mongolia Kwa Amani na Uhuru wa Kidini.

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, ametoa hotuba ya kusisimua wakati wa ziara yake nchini Mongolia, akiipongeza nchi hiyo kwa kuhimiza amani na uhuru wa kidini. Papa Francis alipokelewa kwa heshima ya kijeshi, ishara ya ukarimu na heshima ya juu aliyopewa…

Imram Khan

Mahakama ya Pakistan yamwachilia aliyekuwa waziri mkuu Imram Khan kwa dhamana.

Mahakama nchini Pakistan imeagiza aliyekuwa waziri mkuu wa zamani Imran Khan kuachiwa kwa dhamana kwa wiki mbili, baada ya kukamatwa kwa madai ya ufisadi, hatua iliyoibua maandamano na ghasia kote nchini humo. Wafuasi wa chama cha Imran Khan cha Tehreek-E-Insaf waliokuwa nje…

Ruto Netanyahu

Ruto, Netanyahu wakubaliana kuboresha uhusiano wa kibiashara kati ya Kenya na Israel.

Kiongozi wa taifa Rais William Ruto amefanya mazungumzo na rais wa Israel Isaac Herzog nchini Isarel ambapo wawili hao wameafikiana kushirikiana hasa katika ukuzaji wa chakula. Rais Ruto vilevile ameelezea hamu yake ya kushirikiana na taifa hilo kwenye sekta za afya, uchumi…

Pope Francis amzika Pope Benedict XVI

Papa Francis Kukutana na wadhiriwa wa vita vya wenyewe kwa wenyewe Sudan Kusini

 BY ISAYA BURUGU,4TH MARCH,2023-Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis leo Jumamosi atakutana na waathiriwa wa vita vya wenyewe kwa wenyewe na viongozi wa kidini nchini Sudan Kusini katika siku ya pili ya ziara yake kwenye taifa hilo linalokabiliwa na machafuko. Mkutano…