Pope Francis amzika Pope Benedict XVI

Papa Francis aongoza misa ya mazishi ya Papa Benedict XVI.

Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Francis mchana wa leo ameongoza misa ya ibada ya mazishi ya mtangulizi wake Papa Benedict XVI mjini Vatican. Papa Francis ametoa mahubiri katika Misa hiyo ambayo imehudhuriwa na takriban makadinali 120, maaskofu 400 na Zaidi ya mapadre…

Wakaazi wa Santos Nchini Brazil wamuaga Pele kabla ya Mazishi yake.

Mji wa pwani wa Brazil wa Santos, ambao gwiji wa michezo Pele alianzia kuchezea na kupata umaarufu wake, umekua ukiendeleza shughuli ya kutoa heshima zake za mwisho siku ya leo kwa shughuli inayotarajiwa kuendelea kwa kipindi cha saa 24. Gwiji huyo wa…

Biden aidhinisha msaada wa dharura New York

 BY ISAYA BURUGU/DW,27TH DEC 2022-Rais wa marekani Joe Biden ameidhinisha kupelekwa kwa msaada wa dharura katika jimbo la New York kufuatia dhoruba kali ya theluji iliosababisha vifo vya zaidi ya 27 huku wengine maelfu wakiachwa bila nishati ya umeme. Kikosi cha dharura…

Korea Kusini yalaani hatua ya Korea Kaskazini kuipa silaha Wagner Group

BY ISAYA BURUGU 23RD DEC,2022-Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini imesema inalaani hatua ya Korea Kaskazini kupeleka silaha kwa kampuni binafsi ya kijeshi ya Urusi ya Wagner Group. Wizara hiyo imesema leo pia inaunga mkono shinikizo la Marekani kuliwasilisha suala…

Polisi nchini Zambia wagundua miili 27 ya watu wanaodhaniwa kuwa wahamiaji.

Polisi nchini Zambia wamegundua miili 27 ya watu wanaodhaniwa kuwa wahamiaji waliongia nchini humo kinyume cha sheria kutoka Ethiopia na Somalia. kwa mujibu wa msemaji wa polisi, Danny Mwale,mtu mmoja alikuwa bado yu hai wakati alipopelekwa hospitalini. Sababu hasa ya vifo vya…

Marekani yadai Urusi na Iran zimetanua ushirika wao wa kijeshi

BY ISAYA BURUGU ,10TH DEC 2022-Utawala wa rais wa Marekani, Joe Biden umeituhukumu Urusi kutanua ushirikiano wake wa kijeshi na Iran kwa kuipatia Tehran mifumo ya kisasa ya ulinzi, helikopta na ndege za kivita. Msemaji wa Baraza la Usalama wa taifa nchini…

Mataifa mbalimbali yahimizwa kushiriki katika kulinda viumbe hai duniani.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa mataifa yanayoshiriki kwenye Kongamano la Umoja wa Mataifa la Bayoanuai – COP 15 nchini Canada kushiriki katika jukumu la dharura la kufikia makubaliano thabiti ya kulinda viumbe hai duniani. Akizungumza mjini…

Paul Kagame atakiwa kusitisha uungaji mkono anayodaiwa kutoa kwa waasi wa M23.

Huku jumuiya ya Afrika mashariki likiendelea kufanya mazungumzo ya amani baina ya serikali ya Congo na waasi wa M23, Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken ametoa wito kwa rais wa Rwanda Paul Kagame kusitisha uungaji mkono anayodaiwa kuutowa kwa…