Serikali ya Ethiopia imedai kwamba jeshi la nchi hiyo linadhibiti asilimia 70 ya jimbo la Tigray na kuweka wazi kuwa msaada unatumwa kwenda kwenye eneo hilo. Taarifa hiyo imetolewa na mshauri wa usalama wa taifa wa Ethiopia Redwan Hussein aliyesema kwamba magari…
BY ISAYA BURUGU/BBC,10,NOV 2022-Uwanja wa ndege wa Bukoba kaskazini – magharibi mwa Tanzania umefunguliwa tena kufuatia ajali iliyosababisha vifo vya watu 19. Ndege hiyo ya abiria ilianguka katika Ziwa Viktoria ilipokuwa ikijaribu kutua kwenye uwanja huo Jumapili iliyopita.Afisa utawala katika mji huo…
BY ISAYA BURUGU/BBC ,09,NOV 2022-Serikali ya Ufaransa kupitia ubalozi wake jijini Dar Es Salaam imetangaza kutuma kikosi cha maafisa na wataalamu wa uchunguzi na uchambuzi wa masuala ya usalama wa ndege kusaidia uchunguzi wa chanzo cha ajali ya ndege ya Precision Air…
Viongozi wa mataifa mbalimbali wanaohudhuria mkutano kuhusu mabadiliko ya tabianchi wametoa mapendekezo juu ya hatua kali zinazotakiwa kuchukuliwa kudhibiti ongezeko la joto duniani.Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres pamoja na Waziri Mkuu wa Barbados Mia Mottley wamesema wakati umewadia kwa…
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, anapeleka ujumbe wake wa “uwepo wa majadiliano” kwa ulimwengu wa kiislamu nchini Bahrain, ambako serikali hiyo inayoongozwa na madhehebu ya wasuni imeandaa mkutano wa kidini unaohimiza utangamano kati ya mataifa ya Mashariki na Magharibi, licha…
Marekani imeelezea wasiwasi wake kwamba taifa la Rwanda linawaunga mkono waasi wa kundi la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kujiunga na miito ya Umoja wa Mataifa inayotaka amani idumishwe tena. Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani…
Bilionea Elon Musk amekuwa mmiliki mpya wa kampuni ya mtandao wa kijamii wa Twitter, na ameanza kazi kwa kuwaondoa wakurugenzi wakuu wa kampuni hiyo. Watu walio karibu na kampuni hiyo wamearifu kuwa waliotimuliwa ni pamoja na mkurugenzi mkuu Parag Agrawal, mkuu wa…
Marekani na washirika wake wa magharibi kwenye baraza la usalama la Umoja wa Mataifa, wamesisitiza kwamba katibu mkuu wa umoja huo Antonio Guterres ana haki ya kuchunguza iwapo Urusi ilitumia ndege zisizokuwa na rubani za Iran kuwashambulia raia na mitambo ya umeme…