Shirika la afya duniani lapania kuanza majarabio ya chanjo dhidi ya virusi vya Ebola nchini Uganda

Shirika la Afya la duniani WHO linasema hivi karibuni litaanza majaribio ya chanjo moja au mbili dhidi ya aina ya virusi vya Ebola nchini Uganda. Bodi ya afya inasema inasubiri idhini ya udhibiti kutoka kwa taifa hilo la Afrika Mashariki. Ikiwa itaidhinishwa,…

Rais wa Uganda Yoweri Museveni aomba msamaha kwa rais wa Kenya William Ruto kufuatia matamshi ya mwanawe Muhoozi Kainerugaba

By: Brigit Agwenge, 5th Oct 2022, Siku chache tu baada ya mtoto wa rais wa Uganda Muhoozi Kainerugaba kuzua dhoruba kwa msururu wa ujumbe wa Twitter uliosababisha mgawanyiko baina ya kenya na taifa hilo, rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba msamaha kwa…

ONGEZEKO LA EBOLA

  BY: BRIGIT AGWENGE/5TH OCT 2022-Wizara ya afya ya Uganda imethibitisha kifo cha mhudumu mwingine wa afya, ambaye aliaga dunia leo asubuhi.Bi Margaret Nabisubi, mwenye umri wa miaka 58, ni mhudumu wa afya wa nne kufa kwa Ebola, kwa mujibu na waziri…

Viongozi wa ulimwengu waanza kukusanyika nchini Uingereza kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth wa ll.

BY DW,17TH SEPT,2022-Viongozi wa ulimwengu wameanza kukusanyika mjini London kuanzia leo Jumamosi kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II.Wana mfalme William na Harry watatoa heshima zao kwa bibi yao. Leo Jumamosi wana mfalme William na Harry wakitarajiwa kuwaongoza wajukuu zake…