Taasisi husika katika wizara za kawi na ile ya barabara na uchukuzi, zimeagizwa kufutilia mbali kandarasi ya miaka 30 iliyokuwa imetolewa kwa kampuni ya Adani kupanua baadhi ya njia za umeme nchini. Agizo hili limetolewa na rais William Ruto. Kwenye hotuba yake…
Waziri wa kawi nchini Opiyo Wandayi amesema kuwa ripoti ya Marekani kuhusu kampuni ya adani kwamba walitumia ulaghai kupata mkataba, haitaathiri kwa namna yoyote kandarasi ya umeme kati ya Kenya na kampuni hiyo. Akizungumza alipofika mbele ya kamati ya kawi katika bunge…
Serikali ya Kaunti ya Narok imeombwa kuunga mkono juhudi za wakulima wanaofuga nyuki katika kaunti hii ili kuwawezesha kuzalisha asali kwa wingi na kuongeza faida kutokana na kilimo hiki. Kiongozi wa Shirika la Wakulima wa Nyuki katika Kaunti ya Narok, Bw. Benjamin…
Naibu wa Rais Kithure Kindiki amesisitiza kuwa jukumu lake kuu ni kumsaidia Rais William Ruto katika juhudi za kuliunganisha taifa na kufanikisha malengo ya kitaifa. Akizungumza katika hotuba yake ya mwisho kwenye ofisi ya Wizara ya usalama wa ndani, Kindiki alieleza kuwa…
Rais William Ruto kwa mara nyingine ametetea mfumo wa ufadhili wa elimu ya juu nchini. Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi hati za kuhudumu kwa chuo kikuu cha Islamic humu nchini na chuo kikuu cha kitaifa cha ujasusi, rais Ruto amesema kuwa…
Kamishna wa Kaunti ya Narok, Kipkech Lotiatia, amewataka wazazi kuhakikisha kwamba wanaweka mazingira bora na yenye utulivu kwa wanafunzi wanaotarajiwa kufanya mitihani ya kitaifa ya KCSE na KPSEA mwaka huu. Bw. Lotiatia alisisitiza umuhimu wa kuwapa watahiniwa hao usaidizi wa kila aina…
Gavana wa Kaunti ya Narok, Patrick Ntutu, anatarajiwa kuanza ziara ya siku nane katika eneo bunge la Emurua Dikirr leo, kwa lengo la kuzindua na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo. Ziara hiyo pia itatoa fursa kwa wananchi wa maeneo mbalimbali ya Emurua…
Wakenya waliraiwa kushiriki katika shuguli za uhifadhi wa mazingira kama vile upanzi wa miche na shuguli zingine za usafi wanaposherehekea siku kuu ya mazingira. Akizungumza wakati wa hafla ya kusherehekea siku hii katika bustani ya Arboretum, Waziri wa mazingira Aden Duale, alifichua…