Ukimwi

Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI Yapungua kwa Asilimia Kubwa Narok.

Maambukizi ya virusi vya Ukimwi yamepungua kutoka asilimia 5.6 hadi asilimia 1.8 katika Kaunti ya Narok katika kipindi cha miaka 20 iliyopita. Gavana wa Kaunti ya Narok, Patrick Ntutu, alitoa takwimu hizi siku ya Jumatatu 13.01.2025 wakati wa ufunguzi wa warsha ya…