Baraza la vyombo vya Habari nchini MCK limewakashifu maafisa wa polisi kwa kuwafungia nje wanahabari waliokuwa wakiripoti mkasa wa Shakahola. Katika taarifa, MCK ilisema hatua hiyo inavinyima vyombo vya habari fursa ya kuripoti kuhusu suala la maslahi ya umma.Siku ya Jumatano, wanahabari…
BY SAIAYA BURUGU 27TH APRIL,2023-Rais William Ruto ametia Saini kuwa sheria mswada wa ugavi wa mapato wa mwaka 2023 uliopitishwa na bunge la seneti wiki jana. Maseneta waliuzingatia na kupitisha msuada huo tarehe 20 mwezi huu bila marekebisho jinsi ulivyopitishwa na bunge…
BY ISAYA BURUGU 27TH APRIL,2023-Shughuli ya ukaguzi wa maiti zipatazo 98 zilizopatikana kule Shakahola kaunti ya Kilifi inatarajiwa kuanza leo katika hospitali ya Malindi.Tayari mkaguzi mkuu wa maiti wa serikali amewasili Malindi kwa zoezi hilo.Ukaguzi huo unaendeshwa ili kubaini kilichopelekea vifo hivyo.…
Waziri wa usalama nchini Kithure Kindiki ameeleza kwamba taifa la kenya litafanikiwa katika vita dhidi ya wizi wa mifugo na ujambazi unaotekelezwa katika maeneo ya kaskazini mwa bonde la ufa. Akizungumza katika kikao kwenye bunge la seneti alipojiwaisilisha ili kutoa majibu kwa…
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta ameitaka serikali kujitenga na kujiepusha na vitendo vinavyohusu chama cha Jubilee, na badala yake kuelekeza nguvu zake katika kuimarisha maisha ya wakenya. Akizungumza baada ya kuzuru ofisi za Chama cha Jubilee ambazo zilikuwa na purukushani siku ya leo,…
Chama cha Jubilee kimeagizwa kuondoka katika majengo wanayotumia kwa sasa kama makao makuu ya chama baada ya pande ya Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Kanini Kega na pande ya aliyekuwa Mbunge wa Ndaragwa Jeremiah Jeremiah Kioni kuzozana kuhusu uongozi wa chama…
Serikali imetangaza amri ya kutotoka nje kwa siku 30 kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa kumi na mbili alfajiri katika eneo la Chakama katika Kaunti ya Kilifi ambako Msitu wa Shakahola unapatikana huku uchunguzi ukiendelea. Waziri wa usalama wa ndani…
BY ISAYA BURUGU 26TH APRIL,2023-Waziri wa usalama Kithure Kindiki hivi leo amefika mbele ya bunge la seneti kuangazia baadhi ya changamoto za kiusalama zinazokumba taiafa hili. Hatua hiyo ya Waziri inajiri huku oparesheni ya kuwaokoa manusura wa janga la dhehebu za Good…