BY ISAYA BURUGU,26TH APRIL,2023-Aliyekuwa mbunge wa Yatta katika kaunti ya Machakos Gedion Munyao Mutiso, ameaga dunia.Mutiso alifariki katika hospitali moja jijini Nairobi alipokuwa akipokea matibabu kutokana na ugonjwa wa saratani.Kwa mjibu wa familia yake, marehemu ameaga dunia akiwa na umri wa miaka…
Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki amependekeza kushtakiwa kwa Kasisi Bandia Paul Makenzi na makosa ya Mauaji ya halaiki, kufuatia vifo vilivyoshuhudiwa katika eneo la Shakahola katika kaunti ya Kilifi. Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo bada ya kuzuru eneo…
Baraza la mawaziri katika kaunti ya Narok limeidhinisha bajeti ya miradi ya maendeleo katika kaunti hii, kuelekea katika mwaka ujao wa kifedha, kabla ya mapendekezo hayo kuwasilishwa katika bunge la kaunti ili kuidhinishwa. Katika kikao cha leo kilichoongozwa na gavana Patrick Ntutu,…
Kenya imeanza shughuli ya kuwaondoa wananchi wake kutoka nchi ya Sudan kunakoendelea vita vya kisiasa. Kenya imekuwa mojawapo ya nchi ambazo zimewaondoa wananchi wake kutoka nchi hiyo kutokana na makabiliano makali baina ya jeshi la Sudan na kikundi cha Paramilitary Rapid Support…
BY ISAYA BURUGU 25TH APRIL,2023-Mahakama kuu ya Kajiado imeagiza mwanamke anayekumbwa na makosa ya kumua mwanawe wa miaka miwili kwa kukata kata mwili wake vipande vipande na kisha kula matumbo yake azuiliwe kwa siku kumi . Olivia Naserian anatuhumiwa kumua bintiye Gloria…
BY ISAYA BURUGU 25TH APRIL,2023-Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki amefika kule Shokahola ambapo opareseni ya uopoaji wa miili inaendelea.Pia mikakati inaendelea sambamba kuwaokoa wale ambao bado wako hai.Tayari miili 73 imefukuliwa katika kipindi cha wiki moja iliyopita. Hiyo jana msaidizi…
BY ISAYA BURUGU 25TH APRIL,2023-Mwanamke wa miaka 27 katika mtaa wa Milimani kule kitengela kaunti ya Kajiado amemdunga kisu na kumua mtoto wake wa umri wa miaka miwili na baadaye kula mwili wa mtoto huyo .Majirani wamesema kuwa Olivia Naserian alijifungia ndani…
Kiongozi wa taifa Rais William Ruto amewatoa wito kwa idara za magereza nchini kushirikiana na serikali katika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa taifa. Rais aliyezungumza katika halfa ya 26 ya kufuzu kwa maafisa wa magarereza katika Chuo cha Mafunzo cha maafisa wa…