Rais William Ruto amevunja kimya chake kuhusiana na matukio katika msitu wa Shakahola kaunti ya Kilifu, ambapo miili Zaidi inaendelea kufukuliwa, ikihusishwa na wafuasi walioaga dunia baada ya kujinyima chakula na maji. Rais amelaani imani inayosambaza na Mshukiwa wa aliyetambuliwa kama Kasisi…
Waumini wa kanisa katoliki katika kaunti ya Isiolo na maeneo jirani wana kila sababu ya kutabasamu sasa, baada ya kupandishwa hadhi kwa Vikarieti ya Isioli hadi kuwa jimbo katoliki la Isiolo, katika hafla iliyoandaliwa kutwa ya leo. Jimbo katoliki la Isiolo litaongozwa…
Naibu Rais Rigathi Gachagua hii leo amemwakilisha Rais William Ruto katika toleo la pili la kongamano la Forbes 30 under 30 barani Afrika mjini Gaborone. Gachagua na mkewe Bi. Dorcas Gachgaua waliondoka nchini leo asubuhi. Forbes 30 Under 30 inatambua wafanyabiashara bora…
BY ISAYA BURUGU,22ND APRIL,2023-Mwanamme wa miaka 25 anauguza majeraha baada ya kuvamiwa na umati uliojawa na hasira kwa kumua mwanamke wa miaka 22 kuhusiana na mzozo wa kimapezni mjini Kitengela kaunti ya Kajiado.Marehemu anaripotiwa kukataa ombi la mwanamme kutaka kuwa naye kwenye…
BY ISAYA BURUGU,22ND APRIL,2023-Rais William Ruto yuko Igembe kaskazini , kaunti ya Meru kuzindua ukarabati wa barabara ya Kaelo-Kamukunji-Mutuati kufikia kiwango cha kisasa. Rais ni mgeni wa gavana Kawira Mwangaza miongoni mwa viongozi wengine akiwemo Waziri wa kilimo Mithika Linturi.Akiwahutubia wenyeji ,…
Naibu Rais Rigathi Gachagua amewataka wawakilishiwadi na viongozi wa maeneo ya mlima Kenya kuiunga mkono serikali katika vita vyake dhidi ya uraibu na ugemaji wa pombe haramu katika maeneo hayo. Akizungumza katika kikao cha mashauriano na wawakilishiwadi kutoka katika kaunti za Nyeri,…
Rais William Ruto amemteua aliyekuwa Gavana wa Meru Kiraitu Murungi kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Kitaifa la Mafuta. Kulingana na Notisi ya Gazeti la tarehe 20 Aprili 2023, Kiraitu atashikilia wadhifa huo kwa muda wa miaka mitatu. Pia…
BY ISAYA BURUGU,21ST APRIL,2023-Ulimwengu unajiandaa kuadhimisha siku ya malaria duniani wiki ijayo.Hata ingawa kuna mengi yaliyoafanywa katika kutokomeza ugonjwa huo humu nchini mengi pia yanasalia kutekelezwa. Kwa mfano katika kaunti ya Siaya mbu wanaosabbaisha malaria wanaripotiwa kuongezeka haswa kijiji cha hawinga katika…