BY ISAYA BURUGU 21ST APRIL,2023-Waislam wengi humu nchini wanasherehekea Eid al Fitr kuashiria kukamilika rasmi kwa mwezi mtukufu wa mfungo wa Ramadhan. Maelfu ya waumini wakislam wamekongamano katika maeneo mbali mbali ya kuabududia na viwanja kote nchini nyakati za asubuhi kwa maombi…
Shirika la msalaba mwekundu nchini litafaidi na mgao wa shilingi milioni 100 kuanzia mwaka ujao wa kifedha kutoka kwa hazina ya kitaifa. Hii ni mojawpao ya njia za serikali kuimarisha upatikanaji wa huduma za dharura kwa wakenya. Hatua hii inafuatia tangazo la…
Bunge la kitaifa hivi leo limeidhinisha uteuzi wa Dkt. David Oginde kama mwenyekiti mpya wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC. Dkt. Oginde aliteuliwa na rais kutwaa wadhifa huo kufuatia kukamilika kwa kipindi cha kuhudumu cha Askofu Mstaafu wa…
Wajumbe wa serikali na upinzani walikutana hii leo jijini Nairobi katika juhudi za kupanga ratiba ya mazungumzo. Mkutano huo ulifuatia agizo la spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula aliyewataka viongozi wa Azimio na Kenya Kwanza kupanga Ajenda. Uongozi wa bunge kutoka …
BY ISAYA BURUGU,20TH APRIL,2023-Mungano wa Azimio la umoja umeandaa mkutano wake wa kukutana na wananchi mjini Muranga kaunti ya Muranga hivi leo. Mkutano huo umehudhuriwa na viongozi wanaoegemea murengo huo,wakiwemo Raila Odinga,Martha Karua,Jeremiah Kioni,Kalonzo Muysoka na Wycliff Oparanya, Eugine Wamalwa kati ya…
BY ISAYA BURUGU,20TH APRIL,2023-Matokeo ya utafiti mpya yameonyesha kuwa Wakenya wengi wanaamini kuwa Rais William Ruto alishinda uchaguzi wa Urais wa Agosti 2022.Haya ni kwa mjibu wa kura ya maoni mpya ya TIFA .Kura hiyo ya maoni iliyotolewa leo inaonyesha kuwa miongoni…
Rais William Ruto ametoa wito wa kusitishwa vita na makabiliano ya kijeshi katika taifa la Sudan, akieleza kwamba kuendelea kwa hali tata ya kivita katika taifa hilo kunasababisha hali ya wasiwasi sio tu katika taifa hilo bali pia katika ukanda wa mataifa…
Waziri wa usalama wa Ndani Kithure Kindiki ametangaza kuwa siku ya Ijumaa, Aprili 21 itakuwa sikukuu ya umma ili kutoa nafasi kwa waumini wa dini ya kiksristu kusherehekea Idd-ul-Fitr. Tangazo hilo limechapishwa katika notisi ya gazeti la serikali iliyochapishwa hii leo kwa…