BY ISAYA BURUGU,19TH APRIL,2023-Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki ametangaza ijumaa wiki hii Aprili 21 kuwa siku kuu yakitaifa kuadhimisha shere ya Idd-ul-Fitr. Kupitia notisi rasmi katika gazeti la serikali,Waziri Kindiki amesema hatua hiyo inambatana na mamlaka aliyo nayo chini ya…
BY ISAYA BURUGU,19TH APRIL,2023-Viongozi katika bunge la kaunti ya Kilifi wametishia kushiriki mandamano kushinikiza kuchukuliwa kwa hatua kali kwa mhubiri tata Paul Makenzi anayezuiliwa katika kituo cha polisi cha Malindi Pamoja na wafuasi wake. Viongozi hao wakiongozwa na spika wa bunge hilo…
BY ISAYA BURUGU,19TH APRIL,2023-Kikoa cha mungano wa Azimio la umoja kilichonua kuandaliwa kaunti ya Muranga hiyo kesho kimefutiliwa mbali.Kamanda wa polisi wa Muranga David Mathiu amekatalia mbali ombi la Azimio kuandaa mkutano huo akisema maafoisa wa polisi wamepewa jukumu kwingineko na walihitaji…
Wanafunzi tano wa shule ya upili wameaga dunia adhuhuri ya leo, baada ya matatu walimokuwa wakisafiria kuhusika katika ajali mbaya katika eneo la Delamere, Naivasha kwenye barabara kuu ya Nakuru-Nairobi. Wanafunzi hao kutoka Shule ya Upili ya Wasichana ya Mbihi iliyo katika…
Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula amewataka viongozi wa mirengo miwili mikuu bungeni kutafuta njia za kuafikia makubaliano kuhusu jinsi ya kutekeleza mazungumzo ya pande mbili, baada ya mswada kuhusu mazungumzo hayo kuwasilishwa bungeni. Wetangula alidhibitisha kupokea mswada huo, akieleza kwamba…
BY ISAYA BURUGU,18TH APRIL,2023-Takriban wanafunzi 6 wamefariki kufuatia ajali mbaya ya barabarani eneo la Delamare Naivasha kaunti ya Nakuru. Wanafunzi hao walikuwa wakisafiri kutoka Magharibi mwa Kenya kuelekea Nairobi ajali ilipotokea. Sita hao walikufa papo hapo. Ajali hiyo ilihusisha lori na matatu…
BY ISAYA BURUGU,18TH APRIL,2023-Muungano wa Azimio la Umoja hivi leo umeonya kwamba hautashiriki kabisa hoja iliyoandaliwa na Wabunge wa Kenya Kwanza katika azma ya kuunda Kamati ya Vyama Viwili. Wakizungumza katika Kituo cha Stephen Kalonzo Musyoka (SKM) jijini Nairobi, muungano unaoongozwa na…
BY ISAYA BURUGU,18TH APRIL,2023-Gavana wa Mombasa Abduswamad Nasir amejitenga na mandamano yaliyopangwa na mungano wa Azimio la umoja.Swamada amesema hayo alipotmbelewa na mkuu Waziri Musalia Mudavadi.Hata hivyo gavana huyo ameiataka serikali kuu kuhakikisha kuwa mgao wa fedha uliyotengewa serikali za kaunti unatumwa…