Mwanamme alimbaka Bintiye kule Mwea akamatwa

BY ISAYA BURUGU,18TH APRIL,2023-Maafisa wa polisi kutoka kituo cha polisi cha Wanguru  kule mwea mashariki kauntiti ya Kirinyaga  wamemtia mbaroni mwanamme anayeshukiwa kumbaka btinye wa umri wa miaka miwili unusu. Mtoto huyo  anaripotiwa kuachwa na mamake aliyekuwa ametofautiana na babake  wakati kisa…

Bodi ya usimamizi katika hospitali ya Mama Lucy yavunjwa.

Gavana wa kaunti ya Nairobi John Sakaja ameteua bodi mpya ya usimamizi katika hospitali ya Mama Lucy, baada ya tukio la kuhuzunisha lililonaswa kwenye video zilizosambaa mitandaoni. Kanda hiyo ilonyesha mama mjamzito aliyekuwa amelala nje ya lango la hospitali hiyo akitafuta huduma…

Rais Ruto azindua shehena ya Oksijeni kueleka katika hospitali mbalimbali nchini.

Rais William Ruto ameongoza zoezi la kuzindua shehena ya mitungi ya gesi ya Oxygeni, itakayopelekwa katika hospitali mbalimbali za kaunti kote nchini. Akizungumza kwenye hafla hiyo iliyoandaliwa katika ikulu ya Nairobi na kuhudhuriwa na magavana mbalimbali Pamoja na washirika wengine wa serikali…

Shughuli za kawaida za usafiri zasitishwa JKIA baada ya ndege ya Mizigo kupata hitilafu.

Shughuli za kawaida katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa JKIA zimesitishwa kwa muda kuanzia asubuhi ya leo, baada ya ndege ya mizigo iliyokuwa kwenye harakati za kupaa kupata hitilafu za kimitambo. Mamlaka ya usimamizi wa viwanja vya ndege nchini KAA katika…

Shule ya Mukumu kufunguliwa katika wiki 2 zijazo, bodi ya usimamizi ikivunjwa.

Waziri wa elimu nchini Ezekiel Machogu ametangaza mabadiliko katika usimamizi wa shule ya upili ya Mukumu huku akimhamisha mwalimu mkuu wa shule hiyo Frida Ndolo pamoja na kuivunja Bodi ya Usimamizi, baada ya wanafunzi watatu na mwalimu mmoja kuaga dunia kutokana na…

Rais azindua mradi wa kusafisha majitaka Narok, akiahidi miradi zaidi ya ujezi wa mabwawa.

Serikali ya kitaifa na ile ya Kaunti ya Narok zitashirikiana ili kuimarisha miradi ya ujenzi wa mabwawa na kuhakikisha upatikanaji wa maji ya matumizi kwa wakaazi wa kaunti hii. Haya ni kwa mujibu wa Rais William Ruto, ambaye alieleza kwamba serikali hizi…

Makachero wa DCI wawakamata washukiwa wawili wa mauji ya mwanafunzi wa chuo cha Utalii

BY ISAYA BURUGU,15TH APRIL,2023-Makachero  kutoka eneo la Starehe wamewakamata washukiwa wawili wanaohusishwa na mauaji ya mwanafunzi wa chuo cha Utalii mwenye umri wa miaka 25.Job Chihonyi aliuawa yapata kilomita chache kutoka chuo anuai cha Utalii katika barabara ya Thika tarehe 5 mwezi…

Bei ya unga itapungua juma lijalo Rais Ruto aahidi.

Bei ya unga huu nchini inatarajiwa kuenda chini juma lijalo. Haya ni kwa mujibu wa Rais William Ruto ambaye ameeleza kwamba serikali inafanya kila liwezekanalo ili kuhakikisha kwamba bei ya bidhaa muhimu inapungua kote nchini. Akizungumza katika eneo la Mavoko baada ya…