KINDIKI KITHURE - Radio Osotua

WAziri wa usalama wa ndani aahidi kuimarisha vita dhidi ya pombe haramu.

Waziri wa usalama wa Ndani Prof. Kithure Kindiki ameainisha biashara na matumizi mabaya ya pombe haramu na dawa za kulevya miongoni mwa vitishio vikuu vya usalama wa taifa baada ya ugaidi na ujambazi. Prof. Kindiki ameahidi kuanzisha vita vikali ili kukabiliana na…

Wanaokata miti kiholela Narok waonywa

BY ISAYA BURUGU,14TH APRIL,2023-Onyo imetolewa kwa watu walio na mazoea ya kukata miti kiholela katika kaunti hii ya Narok.Onyo hiyo imetolewa na Jaji wa mahakama ya Narok Adeline Sisenda . Jaji huyo anasema  mahakama hiyo iko tayari kumchukulia yeyote hatua kali za…

Naibu rais Gachagua awaonya wakuu wa utawala eneo la kati mwa nchi wanaoshirikiana na walanguzi wa dawa za kulevya

 BY ISAYA BURUGU 14TH APRIL,2023-NAIBU Rais Rigathi Gachagua hivi leo ameongoza mkutano wa wakuu wa utawala wakiwemo machifu, makamanda wa polisi nyanjani na kwenye kaunti eneo la kati mwa nchi ili kusaka suluhu kwa tatizo la matumizi ya dawa za kulevya. Mkutano…

Azimio maandamano

Raila atangaza kuwa maandamano ya upinzani yataraejea hivi karibuni.

Kinara wa upinzani Raila Odinga amesema kwamba maandamano ya upinzani yaliyositishwa yatarejelewa tena katika kipindi cha juma moja lijalo. Akizungumza katika jengo la Ufungamano baada ya kuongoza mkutano wa mashauriano na wananchi, Odinga amesema kwamba atatangaza tarehe rasmi ya kurejea kwa maandamano…

Naibu rais apokea meli za kwanza za mafuta yaliyotoka UAE katika bandari ya Mombasa.

Naibu Wa Rais Rigathi Gachagua hii leo aliongoza katika zoezi la upokezi wa shehena ya kwanza ya Mafuta yaliyoagizwa na kununuliwa katika ushirikiano kati ya serikali ya Kenya na ile ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mkataba huo wa kibiashara ulifuatia…

Azimio lataka kuondolewa kwa Mbunge wa Eldas kwenye jopo la Kenya kwanza.

Jopo la watu saba lililoteuliwa na muungano wa Azimio kuwakilisha kwenye mazungumzo ya kuleta uwiano kati yao na mrengo wa Kenya Kwanza  umemtaja wakili Paul Mwangi  kama katibu wa Pamoja , Prof Makau Mutua na  Jeremiah Kioni  kama wasaidizi  kabla ya  kuanza…

Waziri wa elimu apuzilia mbali madai ya udanganyifu kwenye mtihani wa mwaka jana.

Waziri wa elimu Ezekiel Machogu, katibu wake Belio Kipsang pamoja na afisa mkuu mtendaji wa baraza la kitaifa la mitihani KNEC David Njegere hii leo wamefika mbele ya kamati ya elimu kujibu maswali kuhusiana na madai ya udanganyifu kwenye mtihani wa mwaka…

Tabitha Karanja ashtakiwa upya kwa kosa la kukwepa kulipa ushuru wa kiwanda chake cha Keroche breweries

BY ISAYA BURUGU 13TH APRIL,2023-Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha pombe cha Keroche Breweries  Tabitha Karanja amekanusha mashtaka mapya ya kukwepa kulipa ushuru. Mashtaka hayo  yalitokana na ombi kutoka kwa kiongozi wa mashtaka  kutaka marekebisho kwa orodha ya awali ya mashtaka ya kukwepa kulipa…