DPP afuta kesi za maandamano dhidi ya wanasiasa 6 wa Azimio.

Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma Noordin Haji amefutilia mbali mashtaka dhidi ya viongozi sita wa Azimio la umoja, ambayo yalijumuisha maandamano kinyume cha sheria na uharibifu wa mali. Kupitia kwa wakili wa upande wa mashtaka, DPP alifahamisha mahakama kuwa kuondolewa kwa kesi…

Washukiwa wa wizi katika duka la Jamia kuzuiliwa kwa siku zaidi na maafisa wa polisi.

Washukiwa wawili wa uvamizi katika dukakuu la Jamia katika kaunti ya Kisumu wakati wa maandamano ya kupinga serikali, waliokamatwa na kufikishwa mahakamani, wataendelea kuzuiliwa kwa siku 10 zaidi, ili kwapa muda maafisa wa polisi kukamilisha uchunguzi wao. Taarifa kutoka kwa idara ya…

Chuo Kikuu cha Pwani chafungwa kwa majuma 2 kuwaomboleza waliopoteza maisha yao.

Shughuli za kawaida katika chuo kikuu cha Pwani zimesitishwa, na chuo hicho kufungwa kuanzia hii leo hadi tarehe 17 mwezi huu, kufuatia mkasa wa ajali ya barabara iliyosababisha mauko ya wanafunzi wa chuo hicho eneo la Naivasha. Usimamizi wa chuo hicho umeweka…

Familia ya wanandoa waliouawa na watu wasiojulikana yataka uchunguzi uharakishwe.

Familia ya marehemu Edward Morema na mkewe Grace Mong’ina Morema waliouawa na watu wasiojulikana nyumbani kwao Nyamakoroto inataka uchunguzi uharakishwe ili wahalifu hao waweze kutiwa mbaroni. Kulingana na ripoti ya uchunguzi wa maiti hizo mbili uliofanyika katika hospitali ya rufaa na mafunzo…

Pombe yatajwa kuwa dawa ya kulevya inayotumiwa zaidi nchini,NACADA ikionya dhidi ya uraibu huo

BY ISAYA BURUGU,1ST APRIL,2023-Pombe imetajwa kuwa dawa ya kulevya inayotumika sana nchini,vijana wengi wakisemekana kuadhirika Zaidi na matumizi ya pobe eneo la pwani. Haya ni kwa mjibu wa afisa wa elimu ya umma kwenye shirika la kukabiliana na matumizi ya pombe na…

Naibu rais Rigathi Gachagua aongoza hafla ya maombi ya shukrani eneo la malava,Kakamega

BY ISAYA BURUGU,1ST APRIL,2023-Naibu rais Rigathi Gachagua hivi leo ameongoza viongozi wengine katika hafla ya maombi ya kutoa shukrani  kwa makanisa kadhaa eneo bunge la Malaa kaunti ya kakamega.Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula  na mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi ni…

Wanafunzi 20,000 watanufaika na mpango wa internship kuanzia mwaka ujao.

Rais William Ruto amesema wanafunzi 20,000 wa vyuo vikuu watanufaika na mafunzo ya ziada baada ya shule yaani internship kuanzia mwaka ujao. Amesema kuna haja ya kuwapa wanafunzi zaidi fursa ya kutumikia nchi kupitia mpango huo. Rais amezitaka sekta binafsi kushirikiana na…

Maafisa wa idara ya jinai DCI wafukua mwili wa Jeff Mwathi katika juhudi za kubaini kilichopelekea kifo chake

BY ISAYA BURUGU 31ST MARCH,2023-Mwili wa Jeff Mwathi umefukuliwa katika zoezi lililoendeshwa na maafisa wa idara ya uhalifu wa jinai.Mwili huo ulifukuliwa kwa ajili ya uchunguzi kubaini kilichosababisha kifo chake. Uchunguzi utafanywa kisha baadaye mwili wake utazikwa tena. Mkurugenzi wa DCI Amin…