BY ISAYA BURUGU 6TH APRIL,2023-Rais Wiliam Ruto hivi leo ameongoza uzinduzi wa ujenzi wa bwawa la Mwache katika wadi ya Kasemeni katika kaunti ndogo ya kinango kaunti ya Kwale.Muradi huo wa kima cha shilingi milioni 20 unatarajiwa kupiga jeki juhudi za kuwepo…
Naibu Rais Rigathi Gachagua ameirai idara ya mahakama nchini kuangazia mabadiliko katika mfumo wa hukumu, na kuanzisha hukumu zitakazosaidia katika uhifadhi wa mazingira badala ya kifungo cha nje. Gachagua aliyekuwa akizungumza katika siku ya mwisho ya kongamano la idara ya mahakama barani…
Wabunge kutoka jamii za wafugaji wamekubali kuweka tofauti zao kando na kushirikiana na serikali ili kumaliza ukosefu wa usalama na migogoro inayohusiana na wizi wa mifugo katika eneo la Kaskazini mwa bonde la Ufa. Viongozi hao wametoa wito wa kusitishwa mapigano na…
Serikali ya kaunti ya Narok imetoa jumla ya shilingi 579,280 kwa Wanafunzi 16 ambao ni walemavu ili kufanikisha ndoto yao ya elimu kupitia ofisi ya watu wanaoishi na ulemavu kaunti ya Narok. Akizungumza mjini Narok mkurugenzi wa watu wanaoishi na ulemavu kaunti…
BY ISAYA BURUGU,5TH APRIL,2023-Mtu mmoja ameripotiwa kufariki huku wanafunzi kadhaa wakijeruhiwa baada ya basi mbili za shule kugongana ana kwa ana kwenye barabara ya Kagio kuelekea Baricho kaunti ya Kirinyaga leo asubuhi.Wakaazi waliokuwa karibu walikimbia kwenye eneo la tukio kujaribu kuwaokoa manusura…
Rais William Ruto aliwasili katika taifa la Rwanda kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili. Rais Ruto na mwenyeji Rais Paul Kagame wanatarajiwa kujadiliana kuhusu maswala ya ushirikiano kati ya mataifa haya mawili, ikiwa ni pamoja na miradi ya usalama wa chakula,…
Kinara wa upinzani Raila Odinga amefutilia mbali taarifa kuwa kulikua na mkutano kati yake na Rais William Ruto kabla ya tangazo la kusitisha maandamano siku ya Jumapili. Odinga ambaye alihutubia waandishi wa habari kabla ya mkutano wa wajumbe wa muungano wa Azimio…
BY ISAYA BURUGU,4TH APRIL,2023-Polisi katika Kaunti Ndogo ya Manga, kaunti ya Nyamira wanachunguza kisa ambapo mwili wa mtoto wa miaka 11 wa darasa la sita katika shule ya msingi ya Ekoro, kaunti ndogo ya Nyamira Kusini ulipatikana ndani ya kisima kilicho kwenye…