KHRC yawakosoa polisi kwa kutumia nguvu kuwakabili waandamanaji.

Tume ya kitaifa ya kutetea haki za kibinadamu KHRC, imelaani hatua ya maafisa wa polisi kutumia nguvu kupita kiasi kuwadhibiti Wananchi waliokuwa wakishiriki katika maandamano ya kupinga serikali yaliyoandaliwa na muungano wa upinzani siku ya Jumatatu. Katika taarifa yake, tume hiyo imeeleza…

Asilimia 37 ya wakenya wataja ongezeko la gharama ya maisha kama chanamoto kuu.

Utafiti mpya umefichua utendakazi wa serikali ya Rais William Ruto katika miezi sita ya kwanza madarakani, kulingana na Wakenya. Utafiti huo uliofanywa na taasisi ya utafiti TIFA unaonyesha kuwa Wakenya wanajali zaidi kuhusu gharama ya juu ya maisha. Asilimia 37 ya waliohojiwa…

MCAs wa ODM waliohudhuria hafla ya rais Ruto Migori mwishoni mwa juma waadhibiwa

BY ISAYA BURUGU 29TH MARCH,2023-Chama cha ODM hivi leo kimemuandaikia barua spika wa bunge la kaunti ya Migori kuhusu ukosefu wa imani yake kwa baadhi ya wabunge wa bunge hilo.Wabunge hao ni 1. Hon. George Okinyi Omamba – ambaye ni mwenyekiti wa…

TAANZIA: Mbunge wa Banisa Kulow Hassan Maalim ameaga dunia

BY ISAYA BURUGU 29TH MARCH,2023-Mbunge wa Banissa, Kulow Hassan Maalim amefariki dunia baada ya kugongwa na bodaboda siku ya Jumapili katika mtaa wa South B jijini Nairobi. Kulingana na ripoti kutoka kwa familia yake, Mbunge huyo kutoka kaunti ya Garissa alifariki mapema…

Odinga akemea vurugu wakati wa maandamano akimyooshea Naibu rais kidole cha lawama.

Kinara wa Muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga ameshtumu kitendo cha kuteketezwa kwa kanisa na msikiti katika eneo la Kibra jioni ya jana. Odinga ameelekeza kidole cha lawama kwa naibu wa Rais Rigathi Gachagua kwa kitendo hicho anachosema kilinuia kuzua mgogoro…

Noordin Haji aagiza uchunguzi kufanywa kuhusu vurugu wakati wa Maandamano.

Tukisalia katika taarifa zenye uzito sawia kuhusiana na maandamano ya  hio jana, Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) Nordin Haji amemwagiza Inspekta Jenerali wa Polisi Japhet Koome kuanzisha uchunguzi kubaini sababu za matukio ya ghasia yaliyoshuhudiwa wakati wa maandamano ya mrengo wa…

Tume ya NCIC yataka kusitishwa kwa maandamano yanayoendelea dhidi ya serikali.

Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano NCIC imetaka kusitishwa kwa maandamano yanayoendelea dhidi ya serikali yaliyoitishwa na kinara wa upinzani Raila Odinga. Mwenyekiti wa tume hiyo Samuel Kobia amesema maandamano hayo yanazua hali ya wasiwasi kote nchini, akitoa mfano wa kisa…

Uchunguzi waendelea ili kuwakamata watu waliovamia ardhi ya familia ya Kenyatta.

Inspekta Jenerali wa Polisi Japhet Koome amesema uchunguzi unaendelea ili kuwafikisha mahakamani watu waliovamia kiwanda cha gesi cha East Africa Specter kinachomilikiwa na kiongozi wa upinzani Raila Odinga na kipande cha ardhi kinachomilikiwa na familia ya aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta. Wahalifu hao…