Naibu rais Rigathi Gachagua aongoza hafla ya maombi ya shukrani eneo la malava,Kakamega

BY ISAYA BURUGU,1ST APRIL,2023-Naibu rais Rigathi Gachagua hivi leo ameongoza viongozi wengine katika hafla ya maombi ya kutoa shukrani  kwa makanisa kadhaa eneo bunge la Malaa kaunti ya kakamega.Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula  na mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi ni…

Wanafunzi 20,000 watanufaika na mpango wa internship kuanzia mwaka ujao.

Rais William Ruto amesema wanafunzi 20,000 wa vyuo vikuu watanufaika na mafunzo ya ziada baada ya shule yaani internship kuanzia mwaka ujao. Amesema kuna haja ya kuwapa wanafunzi zaidi fursa ya kutumikia nchi kupitia mpango huo. Rais amezitaka sekta binafsi kushirikiana na…

Maafisa wa idara ya jinai DCI wafukua mwili wa Jeff Mwathi katika juhudi za kubaini kilichopelekea kifo chake

BY ISAYA BURUGU 31ST MARCH,2023-Mwili wa Jeff Mwathi umefukuliwa katika zoezi lililoendeshwa na maafisa wa idara ya uhalifu wa jinai.Mwili huo ulifukuliwa kwa ajili ya uchunguzi kubaini kilichosababisha kifo chake. Uchunguzi utafanywa kisha baadaye mwili wake utazikwa tena. Mkurugenzi wa DCI Amin…

Balozi wa Marekani humu nchini alaani mashambulizi dhidi ya wanahabari

BY ISAYA BURUGU,31ST MARCH,2023-Balozi wa marekani humu nchini  Meg Whitman amelaani  kushambuliwa kwa waandishi wa habari katika maandamano yanayofanyika kuipinga serikali nchini humo . Kupitia ujumbe wa Twitter balozi huyo amesema kulinda uhuru wa vyombo vya habari ni msingi wa deomokrasia .…

Maandamano ya upinzani yalemaza shughuli za kawaida, Upinzani ukisema hautakoma.

Viongozi wa upinzani nchini waliendeleza maandamano ya kushinikiza mabadiliko katika maeneo tofauti ya taifa kwa siku ya kutwa ya leo. Jijini Nairobi viongozi wa Muungano wa Azimio waliandamana na wafuasi wao katika mitaa mbalimbali, wakiendelea kutoa malalamishi yao na matakwa yao kwa…

Polisi wawakabili vijana waliovamia shamba la Kedong, Suswa Kaunti ya Narok.

Maafisa wa polisi kutoka kaunti ndogo ya Narok Mashariki, walifanikiwa kulikabili kundi la watu ambalo lilikua likitekeleza uhalifu na kuharibu mali katika shamba la Kedong mpakani mwa kaunti ndogo za Narok Mashariki na Naivasha. Taarifa zinaeleza kwamba maafisa hao waliokuwa katika shughuli…

Raila Odinga aongoza wafuasi wake katika maandamano ya kuipinga serikali jijini Nairobi.

Kiongozi wa muungano wa Azimio La Umoja One Kenya Raila Odinga hii leo ameongoza wafuasi katika maandamano ya kuipinga serikali katika eneo la Imara Daima jijini Nairobi. Odinga aliandamana na kinara mwenza wa Azimio Martha Karua, Kalonzo Musyoka wa Wiper Party pamoja…

Watu 14 wathibitishwa kufariki kufuatia ajali mbaya ya barabarani Naivasha.

Watu 14 wamethibitishwa kufariki kufuatia ajali mbaya ya barabarani katika barabara kuu ya Nakuru-Naivasha iliyohusisha basi la Chuo Kikuu cha Pwani na matatu ya abiria. Kulingana na ripoti, basi hilo lilikuwa likiwasafirisha takriban watu 30, miongoni mwao wanafunzi na walimu, kuelekea mashindano…