Rais Ruto arejea nchini baada ya ziara ya siku nne nchini Ujerumani na Ubelgiji

BY ISAYA BURUGU,30TH MARCH,2023-Rais  William Ruto amerejea nchini  baada ya ziara ya siku nnne nchini Ujerumaini na Ubelgiji.Rais aliondoka nchini Jumapili.Ndege iliyomeba rais na ujumbe wake imetua katika uwanja wa ndege wa jomo Kenyatta  jijini Nairobi ambapo amepokelewa  na naibu rais Rigatthi…

Polisi walinda doria kwenye miji mbali mbali mikuu nchini huku Mandamano ya Azimio yakiingia awamu ya tatu leo

BY ISAYA BURUGU 30TH MARCH,2023-Makabiliano kati ya polisi na wandamanaji yameshuhudiwa katika eneo la Mathare number 10 mapema leo  katika siku ya pili ya mandamano ya mungano wa Azimio la Umoja juma hili.Mandamano ya leo yameashiria raundi ya tatu ya mandamano ya…

Gavana Nyong’o na Sakaja wajibizana kuhusu maandamano ya Kupinga serikali.

Majibizano yamezuka kati ya gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja na mwenzake wa Kisumu Prof. Anyang’ Nyong’o kuhusu kuandaliwa kwa maandamano katika kaunti hizo mbili. Katika taarifa yake mapema leo, Gavana Nyong’o alitangaza kuwa kaunti hiyo haitaandaa maandamano mengine ya kupinga…

KHRC yawakosoa polisi kwa kutumia nguvu kuwakabili waandamanaji.

Tume ya kitaifa ya kutetea haki za kibinadamu KHRC, imelaani hatua ya maafisa wa polisi kutumia nguvu kupita kiasi kuwadhibiti Wananchi waliokuwa wakishiriki katika maandamano ya kupinga serikali yaliyoandaliwa na muungano wa upinzani siku ya Jumatatu. Katika taarifa yake, tume hiyo imeeleza…

Asilimia 37 ya wakenya wataja ongezeko la gharama ya maisha kama chanamoto kuu.

Utafiti mpya umefichua utendakazi wa serikali ya Rais William Ruto katika miezi sita ya kwanza madarakani, kulingana na Wakenya. Utafiti huo uliofanywa na taasisi ya utafiti TIFA unaonyesha kuwa Wakenya wanajali zaidi kuhusu gharama ya juu ya maisha. Asilimia 37 ya waliohojiwa…

MCAs wa ODM waliohudhuria hafla ya rais Ruto Migori mwishoni mwa juma waadhibiwa

BY ISAYA BURUGU 29TH MARCH,2023-Chama cha ODM hivi leo kimemuandaikia barua spika wa bunge la kaunti ya Migori kuhusu ukosefu wa imani yake kwa baadhi ya wabunge wa bunge hilo.Wabunge hao ni 1. Hon. George Okinyi Omamba – ambaye ni mwenyekiti wa…

TAANZIA: Mbunge wa Banisa Kulow Hassan Maalim ameaga dunia

BY ISAYA BURUGU 29TH MARCH,2023-Mbunge wa Banissa, Kulow Hassan Maalim amefariki dunia baada ya kugongwa na bodaboda siku ya Jumapili katika mtaa wa South B jijini Nairobi. Kulingana na ripoti kutoka kwa familia yake, Mbunge huyo kutoka kaunti ya Garissa alifariki mapema…

Odinga akemea vurugu wakati wa maandamano akimyooshea Naibu rais kidole cha lawama.

Kinara wa Muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga ameshtumu kitendo cha kuteketezwa kwa kanisa na msikiti katika eneo la Kibra jioni ya jana. Odinga ameelekeza kidole cha lawama kwa naibu wa Rais Rigathi Gachagua kwa kitendo hicho anachosema kilinuia kuzua mgogoro…