Wakaazi wa transmara Magharibi watakiwa kuwa wangalifu na kutovuka mito iliyofurika wakati huu wa mvua

BY ISAYA BURUGU 27TH MARCH,2023-Wito umetolewa kwa wakazi wa Trasmara magharibi kuwa wangalifu kufuatia mvua kubwa inayoendelea kushudiwa eneo hilo. Akizungumza eneo la Shangoi Trasmara magharibi Muhamed Nur amesema wakazi wawe macho hasa wanapofunga mto ili kusuia maafa. Naibu kamishana huyo amesema…

Polisi wafyatua vitoa machozi kuwatawanya wandamanaji Azimio katika miji mbali mbali

BY ISAYA BURUGU 27TH MARCH,2023-Usalama umeimarishwa sehemu mbali mbali  jijini Nairobi siku ambayo  Azimio unandaa mandamano.Polisi walianza kuwekwa katika maeneo mbalimbali mwendo wa usiku wa manane huku maafisa wakati fulani wakiweka vizuizi vya barabarani kukagua magari yanayotumia barabara.SHughuli za uchukuzi pia zimetatizika…

Serikali yaahidi kupeleka maendeleo katika ukanda wa Nyanza.

Rais William Ruto na naibu wake Rigathi Gachagua, wamesema kwamba ukanda wa Nyanza hautaachwa nyuma katika maswala ya maendeleo. Rais ambaye alikua akizungumza katika eneo la Uriri kaunti ya Migori, katika ziara ya kuzindua miradi ya Maendeleo, alisema kwamba miradi kadhaa iko…

Idara ya DCI yaomba radhi baada ya kukashifiwa kwa kutumia picha zisizo sahihi.

Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai DCI imeomba radhi baada ya kukashifiwa kwa kutumia picha zisizo sahihi kuonyesha watu wanaokisiwa kuleta fujo wakati wa maandamano ya siku ya Jumatatu. Aidha DCI imesukuma sehemu ya lawama kwa wananchi, ikisema, mkanganyiko huo ulitokana…

Visa vya kipindupindu vilivyoripotiwa nchini sasa vyafikia 7,570, kutoka 6,391.

Visa vya kipindupindu vilivyoripotiwa nchini sasa vinafikia 7,570, kutoka 6,391 kufikia Machi 7, data ya hivi karibuni kutoka kwa Wizara ya Afya inaonyesha. Ripoti ya hali ya kila siku ya mlipuko wa kipindupindu inaonyesha kufikia Machi 23, vifo vya ugonjwa huo vilifikia…

Idara ya usalama Mombasa yatoa hakikisho ya kulinda usalama kipindi hiki cha Ramadhani

BY ISAYA BURUGU,25TH MARCH,2023-Idara ya usalama kaunti ya Mombasa imewahakikishia waumini wa dini ya kislam kuwa usalama wao utaimarishwa vya kutosha wakati huu wa msimu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Hata hivyo idara hiyo imewataka wakaazi kushirikiana kikamilifu na maafisa wa polisi…

Wacha kuwasumbua wakenya, Rais Ruto amwambia Raila.

Rais William Ruto kwa mara nyingine ameendeleza shutuma zake dhidi ya viongozi wa upinzani, akiwataka kumkabili moja kwa moja badala ya kuhitilafiana na Maisha ya wakenya wa kawaida. Akizungumza katika kaunti ya Kisii adhuhuri ya leo, rais amesema kwamba wakenya hawakumbwaga katika…

Kenya yaungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya kifua kikuu duniani.

Huku Siku ya Kifua Kikuu ikiadhimishwa duniani kote, Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza kupanua wigo wa Mpango wa Kimataifa wa Mkurugenzi Mkuu wa WHO kuhusu kifua kikuu katika kipindi cha miaka minne ijayo. Mpango huu bora unakusudiwa kusaidia maendeleo ya haraka…