Idara ya Upelelezi wa Jinai DCI imetoa picha za washukiwa wanaodaiwa kuhusika na fujo na ghasia zilizoshuhudiwa siku ya Jumatatu wakati wa maandamano ya kuipinga serikali yakiongozwa na muungano wa upinzani wa Azimio, na kuongeza kuwa msako unaendelea kuwatafuta watu hao. Kupitia…
BY ISAYA BURUGU,24TH MARCH,2023-Waumini wa dini yakislam wamehakikishiwa usalama wa kutosha eneo la Trasmara magharibi wakati huu ambapo waumini hao wameanza rasmi kipindi cha mwezi wa mfungo mtukufu wa Ramadhan.Hakikisho hilo limetolewa na naibu kaunti kamishna wa Trasmara magharibi Ali Hassan Nur.…
BY ISAYA BURUGU 24TH MARCH,2023-Watu watatu miongoni mwao maafisa wawili wa polisi na mfanyikazi mmoja wa halmashauri ya utozaji ushuru ncchini KRA wametoweka baada ya mashua walimokuwa wameabiri kuzama ziwa Victoria usiku wa kuamkia leo. Watatu hao sagenti Anderson Wendot ,kostabo wapolisi …
Gavana wa Narok Patrick Ntutu, Waziri wa mazingira Soipan Tuya Pamoja na Waziri wa Utalii Penina Malonza, wameongoza shughuli za uzinduzi wa mpango wa usimamizi wa mbuga ya maasai mara kutwa ya leo. Viongozi hao wamekariri kujitolea kwa idara zao kuendelea kutunza…
kinara wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga, ameeleza kwamba maandamano yaliyoratibiwa kuandaliwa siku ya Jumatatu juma lijalo yataendelea kama yalivyoratibiwa. Katika kikao na waandishi wa habari alasiri ya Leo, Odinga amesema kwamba muungano huo umepata kufahamu kuhusu njama ya viongozi…
Baraza la madhehebu mbalimbali nchini NCCK limemtaka rais William Ruto kufanya mazungumzo na kinara wa upinzani Raila Odinga ili kusitisha maandamano. Wakiwahutubia waandishi wa habari huko Limuru, viongozi hao wameeleza kuwa kuna haja ya kutumia njia mbadala ya kutafuta suluhu ya matatizo…
BY ISAYA BURUGU 23RD MARCH,2023-Waumini wa dini ya Kislamu kote nchini hivi leo wameungana na wenzao duniani kuanza kipindi cha mwezi wa mfungo mtukufu wa Ramadhani.Katika kipindi hiki,waislam hufunga, kusali, na kutoa msaada kwa wasiojiweza katika jamii. Mkuu wa maimamu kaunti ya…
BY ISAYA BURUGU,23RD MARCH,2023- Rais William Ruto hivi leo ameshuhudia kuapishwa kwa Makatibu Wakuu 50 wa Tawala katika hafla iliyofanyika Ikulu.Wateule hao wa CAS walitangazwa kwenye gazeti la serikali Jumatano na Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Koskei. Mawasiliano ya awali kutoka…