Rais Ruto kuzuru kaunti za Kisii na Nyamira kuanzia Alhamisi.

Rais William Ruto anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya kikazi kwa siku tatu katika kaunti za Kisii na Nyamira Pamoja na Maeneo bunge ya Kuria magharibi na Kuria Mashariki kuanzia hapo kesho. Kulingana na msemaji wa Ikulu Hussein Mohamed, ratiba ya Rais itaangazia…

Rais William Ruto akashifu maandamano ya Raila Odinga dhidi ya serikali.

Rais William Ruto amekashifu maandamano ya Raila Odinga dhidi ya serikali yaliyopangwa kufanyika Jumatatu na Alhamisi kila wiki. Katika maoni mafupi ya kuchekesha Mkuu wa Nchi ameonyesha matumaini kwamba siku hizo mbili hivi karibuni zitakuwa siku ambazo zitarekodi idadi kubwa zaidi ya…

KCCB lataka mazungumzo yafanyike kati ya Rais William Ruto na Raila Odinga.

Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki limetaka mazungumzo yafanyike kati ya Rais William Ruto na kiongozi wa upinzani, Raila Odinga, ili kuepusha mzozo unaojitokeza. Wakihutubia wanahabari Maaskofu hao wakiongozwa na mwenyekiti wa baraza hilo askofu mkuu Martin Kivuva, wamemsihi Rais Ruto atimize…

Polisi wachunguza vifo tatanishi vya mke na mumewe Nyamira

BY ISAYA BURUGU,22ND MARCH,2023-Hali ya hofu na majonzi imekumba kijiiji cha Nyamakoroto kata ndogo ya sungututa eneo bunge la kitutu Masaba kaunti ya Nyamira baada ya mtu na mkewe kupatikana wameuawa ndani ya nyumba yao. Edward Morema mwenye umri wa miaka 63…

Siku ya maji duniani yaadhimishwa huku changamoto zikizidi kukumba sekta ya maji nchini

BY ISAYA BURUGU,22ND MARCH,2023-Kenya imeungana na ulimwengu hivi leo kuadhimisha siku ya upatikanaji wamaji ambayo huadhimisha kila tarehe 22 mwezi Machi kila mwaka. Madhimisho haya yanandaliwa wakati sekta ya maji kote nchini inazidi kushudia changamoto mbali mbali zikiwemo, mabadiliko ya hali ya…

Gavana Sakaja aonya kuwa Maandamano yataharibu uchumi wa jiji la Nairobi.

Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja amesema kuwa jiji kuu litashuhudia hasara kubwa ya mapata iwapo maandamano yaliyoandaliwa na muungano wa upinzani yataendelea. Sakaja aliyekuwa akizungumza mapema leo Jumanne, Machi 21 wakati wa uzinduzi wa wimbi la pili la Mpango wa Rapid Results…

Uongozi wa polisi walaani ghasia zisizo na msingi dhidi ya maafisa wa polisi.

Uongozi wa polisi nchini umelaani ghasia zisizo na msingi dhidi ya maafisa waliotumwa kudumisha sheria na utulivu wakati wa maandamano ya Jumatatu. Katika taarifa, Inspekta Jenerali wa Polisi Japhet Koome, huku akiwapongeza maafisa hao kwa kujitolea kwao katika kuhakikisha amani inakuwepo, amesema…

Raila Odinga

Azimio la Umoja sasa kuandaa mandamano Jumatatu na Alahamisi kila wiki

BY ISAYA BURUGU,21ST MARCH,2023-Kinara wa Azimio la Umoja Raila Odinga  ametangaza kuwa mungano huo utandaa mandamano siku mbili kwa wiki kuaznia wiki ijayo.Kwenye mkutano na wandishi habari jijiini Nairobi hivi leo,Odinga aliyeandamana na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka,Martha Karua wa Narc Kenya,…