Taharuki yatanda Laikipia baada ya mtu mmoja kuawa katika kisa cha uvamizi

BY ISAYA BURUGU,13TH MARCH,2023-Taharuki ingali imetanda katika Kijiji cha Ngarua  kaunti ya Laikipia baada ya Watu wenye silaha kumia  kijiji hicho mapema jana  Jumapili. Kisa hicho kilipelekea  kifo cha  mwanamume mmoja huku  ng’ombe wake wanane na kondoo 120 wakibwa.Polisi walisema kuwa marehemu…

Afueni kwa Matiangi na Omari huku Haji akisema mashtaka dhidi yao hayawezi endelea

BY ISAYA BURUGU,13TH MARCH,2023-Aliyekuwa Waziri wa usalama wa ndani Fred Matiangi  hatashatakiwa mahakani  kuhusiana  na uchapishaji waujumbe juu ya uvamizi wa boma lake na polisi mtaani Karen mnamo tarehe 8 mwezi jana. Hii ni baada ya  mkurugenzi mkuu wa mashataka ya umma…

Cheti cha Ndoa kupatikana mtandaoini, baada ya E-Citizen Kuboreshwa.

Wakenya sasa wana uwezo wa kupata vyeti vya ndoa mtandaoni. Hii ni baada ya serikali kuondeza huduma hii kwenye mtandao wa E-Citizen, kama moja ya huduma za serikali zinazpotikana mtandaoni kwa sasa. Katibu mkuu katika wizara ya uhamiaji na maswala ya huduma…

Askofu wa CITAM David Oginde ateuliwa kuiongoza EACC.

Rais William Ruto amemteua Askofu (Dkt.) David Adang Oginde kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC.) Uamuzi wa kumteua Askofu Oginde unafuatia pendekezo la Tume ya Utumishi wa Umma (PSC). Oginde atachukua nafasi ya Askofu Mkuu (Mstaafu) Dkt.…

Kinara wa Azimio la Umoja Raila Odinga azuru eneo la Ewasonyiro Narok kusini.

Kinara wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga amezuru hii leo ametua eneo la Ewasonyiro Narok kusini kuendelea kuzungumza na wananchi kuhusu kile wanachotaja kuwa ni serikali ya rais Wiliam Ruto kushindwa kukabili changamoto zinazowakumba wananchi. Akiwahutubia wakaazi wa Ewasonyiro Odinga…

Serikali ya kaunti ya kajiado kupandisha hadhi hospitali kadhaa kuboresha huduma

BY ISAYA BURUGU,11TH MARCH,2023-Serikali ya kaunti ya Kajiado inapanga kupandisha hadhi baadhi ya vituo vyake vya Kafya katika kaunti hiyo ili kupiga jeki huduma za afya na kuwanufaisha wananchi. Akizungumza alipozuru hospitali ya rufaa ya Kajiado, Waziri wa afya Alex Kilowa amesema…

Lori labingiria na kuangukia makao makuu ya kaunti ya Kakamega

BY ISAYA BURUGU,11TH MARCH,2023-Lori lililokuwa limepakiwa  kwenye barabara ya  Kakamega-Kisumu  karibu na makao makuu ya serikali ya kaunti ya  Kakamega   imebingiria na kuangukia magari mawili yaliyokuwa    yamepakiwa  karibu na makao makuu ya kaunti hiyo kabla ya  kugonga jengo  lililo na afisi za…

KCCB yalaani uamuzi wa mahakama ya upeo, yataka ubatilishwe.

Baraza la Maaskofu wa Kikatoliki nchini (KCCB) linaitaka Mahakama ya upeo kubatilisha uamuzi ulioruhusu usajili wa vikundi vya watu wanaoendeleza mapenzi ya jinsia moja almaarufu LGBTQ. Katika taarifa iliyochapishwa na KCCB adhuhuri ya leo, uamuzi wa kufungua mlango wa usajili kwa watu…