BY ISAYA BURUGU,15TH MARCH,2023-Meneja wa kituo cha huduma katika kaunti ya Narok Everlyne Katampoi amewataka wananchi wote ambao walituma maombi ya kupata vitambulisho kufika kituo hicho kuvichukuwa. Akiongea katika kituo hicho mjini Narok Bi. Katampoi amesema kwamba kufikia sasa tangu mwaka uliopita…
BY ISAYA BURUGU,15TH MARCH,2023-Tume ya maadili na kukabiliana ufisadi EACC imewaonya wahasibu wa kaunti kuhusu matumizi yasiyofaa ya mfumo wa ulipaji fedha.Kwenye notisi kutoka kwa afisa mkuu mtendaji wa tume hiyo Twalib Mbarak amewaonya mahasibu hao akiwagiza kuhakikisha kuwa mifumo bora itakayohakikisha …
Idara ya utabiri wa hali anga imeeleza kuwa baadhi ya sehemu nyingi humu nchini zitashuhudia mvua katika siku chache zijazo. Ripoti iliyotolewa na idara hiyo ya hali ya anga inaonyesha kuwa mvua itashuhudiwa katika maeneo ya nyanda za mashariki ya juu na…
Eneo la Magharibi mwa Kenya linaongoza kwa unywaji wa pombe haramu nchini kote pamoja na pombe za kitamaduni. Haya ni kwa mujibu wa utafiti mpya wa Mamlaka ya Kitaifa ya Kampeni Dhidi ya Matumizi Mabaya ya Pombe na Madawa ya Kulevya NACADA…
BY ISAYA BURUGU,14TH MARCH,2023-Katibu mkuu wa chama cha UDA Cleophas Malala amefichua vyama ambavyo tayari vimeamua kujiunga na UDA kuwa chama kimoja.Akizungumza na wandishi Habari,Malala amesema hatua hiyo inalenga kuhakikisha kuwa rais Wiliam Ruto anakuwa na wakati bora anapoongoza taiafa kuelekea katika…
BY ISAYA BURUGU,14TH MARCH,2023-Rais wa Italia Sergio Mattarella HIVI LEO amekutana na rais Wiliam Ruto katika ikulu ya Nairobi.Rais Matarrela yuko humu nchini kwa ziara ya siku mbili.Katika mkutano kati ya viongozi hao wawili,mikataba miwili imetiwa Saini itakayowezesha Kenya na Italia kushirikiana…
BY ISAYA BURUGU,13TH MARCH,2023-Aliyekuwa makamu wa rais wat isa nchini Moody Awori amewataka wanasiasa kuachana na vita vya ubabe wa kivita na kuunga mkono utawala war ais William Ruto ili uweze kutekeleza manifesto yake.Akizungumza baada ya mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi kumtembelea…
BY ISAYA BURUGU,13TH MARCH,2023-Mkenya mmoja na raia wawili wa kigeni waliokamatwa kwa madai ya kutoa hongo na kuuza mechi wameshatakiwa leo mbele ya mahakama ya Makadara.Akhiad kubev,(raia wa Urusi), Benard Nabende(raia wa Uganda) na Martin Munga(raia wa Kenya) walishtakiwa kwa kula njama…