Waziri wa Utalii Alfred Mutua ameeleza kuwa serikali ya kitaifa inahitaji kiasi cha shilingi bilioni 7 kwa ajili ya kulipa fidia kwa waathiriwa wa migogoro kati ya binadamu na wanyamapori. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa zoezi la usajili wa vijana katika Huduma…
Serikali ya Kaunti ya Narok imetangaza mafanikio katika ukarabati wa barabara mjini Narok, huku jumla ya kilomita 42 zilkiwa zimekarabatiwa. Hatua hii inalenga kupunguza changamoto njia mbovu ambazo zimekuwa tatizo kubwa katika maeneo mengi ya mji wa Narok. Waziri wa Barabara katika…
Jaji Fatuma Sichale wa Mahakama ya Rufaa ameapishwa kuwa mwakilishi wa mahakama hiyo katika Tume ya Huduma za Mahakama (JSC). Hafla hiyo ya kuapishwa iliandaliwa katika majengo ya mahakama ya upeo nchini na kuhudhuriwa na viongozi wakuu wa mahakama nchini. Jaji huyo…
Mzozo unaoshuhudiwa kati ya idara ya mahakama na viongozi wakuu serikalini umechukua mkondo tofauti baada ya kuwasilishwa kwa ombi la kutaka kuondolewa ofisini kwa Jaji Mkuu Martha Koome. Ombi hilo limepelekwa kwa Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) na Michael Kojo Otieno,…
Waziri wa ulinzi Aden Duale hii leo amezindua hazina ya operesheni za Amani itakayoiwezesha serikali kuwatuma wanajeshi kwenye oparesheni za Amani nchini na kimataifa. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo katika kambi ya kahawa Garrison, Duale amesema kuwa hazina hiyo pia itawawezesha wanajeshi…
Waziri wa Mambo ya Ndani na Utawala wa Kitaifa Kithure Kindiki Jumatano alitangaza Kanisa la Good News International Ministries lake mchungaji Paul Mackenzie kuwa kikundi cha uhalifu. Waziri huyo alisema alichukua uamuzi huo katika kutekeleza mamlaka aliyopewa na Kifungu cha 22 cha…
Wizara ya Afya imetoa tahadhari ya afya ya umma kuhusu kuenea kwa ugonjwa wa macho wa Conjunctivitis. Huku akihamasisha umma kuhusu mkurupuko huo, Mkurugenzi Mkuu katika wizara ya Afya, Patrick Amoth alisema ugonjwa huo umekithiri katika eneo la Pwani haswa Malindi, Lamu…
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amemteua Luteni Kanali Padre (Monsignor) Mons. John Njue Njeru kama Msimamizi wa Kitume wa idara ya jeshi nchini Kenya. Taarifa ya uteuzi huu ilitangazwa siku ya Jumanne, Januari 30 na Baraza la Maaskofu wa kikatoliki…