Serikali ya kaunti ya Narok yatakiwa kuwapa mafunzo wakulima

BY ISAYA BURUGU,7TH MARCH,2023-Naibu kamishna wa Narok kusini Felix Kisalu ametoa wito kwa serikali ya kaunti ya Narok kutoa mafunzo kwa wakulima katika maeneo ya nyanjani kama njia moja ya kuboresha mavuno  msimu huu wa upanzi. Akizungumza katika eneo la Sogoo Narok…

Hatimaye Matiangi ajiwasilisha katika makao makuu ya DCI

 BY ISAYA BURUGU,7TH MARCH,2023-Aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang’i  angali anahojiwa  katika makao makuu ya DCI.Hi ni baada yake kuwasili katika makao hayo saa mbili unusu za  asubuhi.Mawakili wa Matyang’i walikuwa wamesema kwamba mteja wao angewasili katika makao makuu ya…

Rais awaagiza wanakandarasi kuwaajiri wananchi wa maeneo husika katika miradi ya Nyumba za bei nafuu.

Rais William Ruto amezidua mradi wa ujenzi wa Nyumba za bei nafuu eneo la Starehe katika kaunti ya Nairobi kutwa ya leo. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mradi huo ambao ni mradi wa tano wa aina hii baada ya kuongoza miradi…

Chuo kikuu cha Meru chafungwa kufuatia maandamano ya wanafunzi

BY  ISAYA BURUGU,6TH MARCH 2023-Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Meru kimefungwa kwa muda usiojulikana kufuatia machafuko ya wanafunzi yaliyolemaza msongamano wa magari katika barabara ya Meru-Maua kwa sehemu bora ya Jumatatu. Wanafunzi kadha walikamatwa wakati wa machafuko hayo huku wakidaiwa…

Gavana wa Narok Patrick Ntutu azindua rasmi ujenzi wa chumba cha kujifungua katika zahanati ya Takitech.

Gavana wa kaunti hii ya Narok Patrick Ole Ntutu amezindua rasmi ujenzi wa chumba cha kujifungua katika zahanati ya Takitech ilioko eneo la Oloolmasani Transmara mashariki. Ntutu ameeleza kuwa ujenzi huo umeanzishwa kufuatia ombi la wakaazi wa eneo hilo ambao wamekuwa wakihangaika…

Akina mama wajawazito kaunti ya Samburu watakiwa kutembelea hospitali kwa matibabu

 BY ISAYA BURUGU,6TH MARCH,2023-Wito umetolewa kwa akina mama wajawazito katika eneo la Nkarone Samburu mashariki kutafuta huduma za afya hospitalini wanapokuwa wajawazito. Hatua hiyo inalenga kupunguza visa vya  vifo vya akina mama wakati wakujifungua. Kaunti ya Samburu imerekodi asiliami 18 ya visa…

Cleophas Malala arai vyama tanzu vya Kenya Kwanza kujiunga na UDA.

Katibu mpya wa chama cha UDA Cleophas Malala, amependekeza vyama tanzu katika muungano huo kujiunga katika chama kimoja kabla ya uchaguzi wa mwaka 2027. Malala ameeleza kwamba vyama vinavyounda muungano wa Kenya kwanza vinafaa kujiunga na chama cha UDA, kama mojawapo ya…

Naibu Rais Rigathi Gachagua adai kwamba maafisa wa utawala uliopita waliiba Ksh.16 bilioni.

Naibu Rais Rigathi Gachagua ameeleza kwamba maafisa wa utawala uliopita wa Rais Uhuru Kenyatta waliiba Ksh.16 bilioni katika kipindi kilichopelekea kukabidhiwa kwa serikali ya Rais William Ruto. Akizungumza jijini Nairobi Gachagua alisema pesa hizo zilikuwa zikisafirishwa kwa katoni kwa nyumba za watu…