Taifa la Kenya limeungana na ulimwengu mzima hii leo, katika kuiadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake, inayotoa nafasi ya kuyasherehekea mafanikio ya wanawake pasi na kuwabagua kwa misingi ya kikabila, kitamaduni, kiuchumi au kisiasa. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu, ilikuwa…
Kamati ya fedha na Mipango katika bunge la kitaifa, imeidhinisha uteuzi wa Dkt Susan Jemutai Koech kama naibu gavana wa pili wa Benki Kuu nchini (CBK) Dkt. Jemutai ambaye aliwahi kuhudumu kama katibu mkuu katika wizara ya jumuia ya Afrika Mashariki, alikuwa…
Baadhi ya viongozi wa Azimio la Umoja sasa wanaitaka serikali kutimiza ahadi zao walizotoa wakati wa kampeni badala ya kuilaumu serikali iliyopita. Wabunge hao wakiongozwa na Edwin Sifuna walisema utawala unaoongozwa na rais William Ruto umekuwa ukinyooshea kidole utawala uliopita badala ya…
wito umetolewa kwa kina mama kuwa watu wenye sala na upendo katika jamii siku zote. Akizungumza alipoungana na wanawake kusherehekea siku ya wanawake duniani, msimamizi wa miradi katika jimbo la Eldoret Abigael Mahindu amewataka kina mama kuwa chombo cha sala katika familia…
BY ISAYA BURUGU,8TH MARCH 2023– Maafisa wa polisi wanachunguza kifo cha kutatanisha cha mrembeshaji nyumba Geoffrey Mwathi, aliyefariki baada ya kuanguka kutoka kwa orofa ya kumi ya jumba la Redwood kwa njia isiyojulikana. Mwathi,mwenye umri wa 23, anasemekana kufariki baada ya kuanguka …
BY ISAYA BURUGU,8TH MARCH,2023-Huku Kenya ikiungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya Akina mama duniani leo,akina mama katika kaunti hii ya Narok wameitaka serikali kuwasaidia katika kuwapiga jeki kiuchumi kwa kuinua biashara zao ndogo ndogo. Kwa mjibu wa Sila Letiet ambaye ni mama,…
Siku moja baada ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Meru kuandaa maandamano wakilalamikia hatua ya kupewa likizo ya lazima kwa naibu chansella wa chuo hicho Prof. Romanus Odhiambo, Waziri wa elimu nchini Ezekiel Machogu ameagiza kurejeshwa kazini mara moja kwa naibu huyo…
Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki amefanya mabadiliko chungu nzima katika wizara yake, baada ya kuwahamisha makamishena 20 hadi maeneo mbadala, na kuwapandisha cheo manaibu kamishena 12 hadi katika ngazi ya kuwa makamishena, huku makamishena 15 wakisalia katika vituo vyao vya…