Mtu mmoja afariki baada ya kugongwa na gari Kirinyaga

BY ISAYA BURUGU,4TH MARCH,2023-Mtu mmoja  amefariki baada ya kugongwa na gari  eneo la  Kiangwaci  kwenye barabara kuu ya  Sagana-Karatina  katika eneo bunge la Ndia,kaunti ya  Kirinyaga. Wenyeji wameawambia wandishi Habari kuwa  marehemu alikuwa ndio manzo anajiandaa kupanda gari  wakati alipogongwa na gari.…

Rebecca Tonkei apongeza zoezi la usajili wa walimu Narok.

Mbunge Mwakilishi wa kina mama wa kaunti ya Narok kwenye bunge la Kitaifa Rebecca Tonkei amempongeza mkurungenzi wa elimu katika kaunti ya Narok Jane Mutai kwa kuhakikisha kwamba haki na uwazi zilizingatiwa wakati wa zoezi lililopta hivi majuzi la uajiri wa walimu.…

Serikali kuongeza idadi ya vijana wanaojiunga na NYS kutoka 10,000 hadi 20,000 kila mwaka.

Rais William Ruto hivi leo ameongoza hafla ya kufuzu kwa makurutu 11,692 wa NYS kule Gilgil kaunti ya Nakuru. Akizungumza wakati wa hafla ya hiyo, Ruto amedokeza kuwa serikali inapania kuongeza idadi ya vijana wanaojiunga na NYS kutoka 10,000 hadi 20,000, kila…

Mahakama kuu yashikilia ushindi wa gavana wa Wajir Ahmed Abdullahi

 BY ISAYA BURUGU,3RD MARCH,2023-Mahakama imebatiliza ushindi wa mbunge wa Legdera Abkadir Hussein Muhamed wa chama cha ODM aliyekuwa ameshinda kiti hicho katika uchaguzi mkuu wa Agosti mwaka jana. Hussein alikuwa amepata kura 5939 na kumshinda mpinzani wake wa UDA  Abdi Kani Zeituni…

Asilimia 7 ya wanafunzi wa KCPE, KPSEA mwaka 2022 wangali nyumbani.

Wanafunzi wapatao 1,200 waliokamilisha mtihani wa Gredi ya sita KPSEA pamoja na wale waliofanya mtihani wa darasa la nane wa KCPE katika kaunti ya Narok mwaka jana, bado hawajajiunga na shule wanazofaa hadi kufikia sasa. Kwa mujibu wa kamishena wa kaunti ya…

Hatimaye rais William Ruto avunja kimya chake kuhusu suala tete linalohusu LGBTQ.

Hatimaye rais William Ruto amevunja kimya chake kuhusu suala tete linalohusu uamuzi wa mahakama ya juu ambao uliwapa idhini wanachama wa LBTQ kujumuishwa kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali. Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa hazina ya kustawisha biashara za akina mama,…

Hali ya watoto kujiunga na shule Transmara Magharibi yaimarika

 BY ISAYA BURUGU,2ND MARCH 2023-Hatua ya wazazi kujitahidi kuwarejesha Watoto wao shulleni katika lokesheni ya Poroko huko Transmara Narok magharibi imeshabikiwa na utawala eneo hilo.Chifu wa Poroko Susan Saning’o amesema kwa sasa hali hiyo imepelekea mpango wa serikali kuhakikisha kuwa Watoto wanajiunga…

Ukosefu wa usalama waripotiwa kukidhiri Garissa

BY ISAYA BURUGU 2ND MARCH,2023-Ukosefu wa usalama umeonekana kukidhiri katika baadhi ya sehemu kaunti ya Garissa   huku kamati ya usalama eneo hilo ikikutana na viongozi wakidini kusaka mbinu za kukomesha ugaidi. Kamishna wa kanda ya kaskazini  mashariki John Otieno amewataka viongozi hao…