Waziri wa usalama wa Ndani Kithure Kindiki ameangazia maendeleo ambayo wizara yake imefanya katika vita dhidi ya uhalifu katika eneo la North Rift. Akizungumza alipofika mbele ya Kamati ya Seneti kuhusu Uwiano wa Kitaifa, Waziri huyo alisimulia jinsi ukosefu wa usalama ulivyolemaza…
BY ISAYA BURUGU,1ST MARCH,2023-Gavana wa kaunti ya Narok Patrick Ole Ntuntu amezindua mpango wa maendeleo ukiwemo usambazaji wa maji wenye dhamani ya shilingi bilioni moja nukta tatu kwenye awamu ya kwanza. Akizungumza katika eneo kuu la Kichinjio cha Olpopongi,gavana huyo amesema kuwa…
BY ISAYA BURUGU,1ST MARCH,2023-Kenya imeungana na ulimwengu hivi leo kuadhimisha siku ya viti vya magurudumu duniani kwa walemavu.Humu nchini maadhimisho hayo yameandaliwa katika kituo cha walemavu cha bombolulu kaunti ya Mombasa. Maadhimisho hayo yanalenga kutoa hamazisho,ya umuhimu wa kiti cha magurudumu kwa…
Watu 3 wameaga dunia huku wengine 6 wakiachwa na majeraha baada ya kuhusika katika ajali ya bara barani eneo la Kisiriri kwenye bara bara kuu ya Narok-Nakuru asubuhi ya leo. Kamanda wa polisi Narok ya kati John Momanyi ambaye alidhibitisha tukio hilo,…
Wizara ya Afya nchini Kenya imetoa wito wa matumizi zaidi ya chanjo ya HPV inayokinga saratani ya mlango wa uzazi kwani ni asilimia 33 tu ya wasichana nchini Kenya wamechanjwa. Kulingana na Wizara ya Afya, asilimia 61 ya wasichana wenye umri wa…
Asilimia 62% ya Wakenya wanaamini kuwa nchi inaelekea pabaya kulingana na utafiti uliofanywa na shirika la InfoTrak. Katika ripoti hiyo iliyotolewa Jumanne, idadi kubwa ya Wakenya walihusisha madai yao na masuala muhimu yanayokabili taifa ikiwemo gharama ya juu ya maisha, ushuru na…
BY ISAYA BURUGU,28TH FEB,2023-Mgombea wa Urais wa chama tawala nchini Nigeria, Bola Tinubu anaongoza kwa kura katika majimbo 20 kati ya 36 nchini Nigeria.Matokeo hayo ya awali ni kwa mujibu wa matokeo ya awali yaliokusanywa na shirika la habari la la Uingereza…
BY ISAYA BURUGU,28TH FEB,2023-Idara ya utabiri wa hali ya hewa nchini imetabiri kuwa mvua itashuhudiwa katika baadhi ya maeneo haswa yale ya Bonde la ufa. Baadhi ya maeneo ambako kunatabiriwa kuwa na mvua mapema mwezi ujao ni ziwa Victoria ,kusini na kati…