Chama tawala cha UDA ambacho ni mojawapo ya vyama tanzu katika muungano wa Kenya kwanza, kimebadilisha usimamizi wake, na kuwapata viongozi wapya waliokabidhiwa jukumu la usukuma gurudumu la uongozi. Katika mabadiliko hayo, Gavana wa kaunti ya Embu Cecily Mbarire ameteuliwa kuwa Mwenyekiti…
Jopo lililoundwa ili kuchunguza utendakazi na mienendo ya makamishna wanne wa tume ya IEBC, imependekeza kuondolewa kwa kamishna aliyesalia wa tume hiyo Irene Masit baada ya kumpata na hatia ya madai kadhaa ya utovu wa nidhamu. Jopo hilo ambalo lilikua likiongozwa na…
BY ISAYA BURUGU,27TH FEB,2023- Askofu mkuu wa jimbo kuu la Nyeri Anthony Muheria amesema kuwa kama kanisa katoliki hawakubaliani kamwe na maamuzi ya mahakama ya juu kuhusu haki za wapenzi wa jinsia moja.Askofu Muheria amedokeza kuwa ingawaje kuna haja ya kumpenda kila…
BY ISAYA BURUGU,27TH FEB,2023-Wanafunzi wa shule ya upili ya Ololulunga Narok kusini wamegoma na kufanya mandamano hadi soko la Ololulunga kufuatia kile walichokitaja kuwa uongozi mbya wa shule hiyo. Akizungumza na wandishi wa habari naibu kamishana wa Narok kusini Felix Kisalu amesema…
Rais William Ruto amemteua Muyumba Simmon Indimuli kuwa Katibu wa Bodi ya Kamati ya Ushauri ya Mashirika ya Serikali kwa muda wa miaka mitatu kuanzia Januari 30, 2023. Mkuu wa Nchi, pia amemteua Ugas Mohamed kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa…
Mke wa rais wa Marekani Bi. Jill Biden amewasili nchini kwa ziara ya siku tatu na kupokoelewa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JKIA, na balozi wa Marekani nchini Kenya, Pamoja na Bi. Rachel Ruto miongoni mwa viongozi wengine. Ndege iliyombeba…
Baraza la Vyombo vya Habari nchini (MCK) limeibua wasiwasi kuhusu kuendelea kushambuliwa kwa maneno kwa vyombo vya habari na maafisa wa serikali, likisema hulka hii inahujumu jukumu la vyombo vya habari kwa umma. Katika taarifa ya baraza hilo iliyochapishwa hii leo, mkurugenzi…
Aliyekuwa mbunge wa Narok Kaskazini Moitalel Ole Kenta, hatimaye amevunja kimya chake kuhusiana na sheria mpya za usimamizi wa Mbuga ya Maasai mara, akisema kwamba uamuzi wa kutaka kuleta usimamizi mpya ni mpango unaonuia kuwafaidi wachache na wala sio kwa manufaa ya…