Idadi kubwa ya wanafunzi waliokamilisha darasa la nane mwaka jana katika kaunti hii ya Narok wamejiunga na shule za upili. Haya ni kwa mujibu wa kaunti kamisha wa Narok Isaac Masinde. Akizungumza mjini Narok Bw. Masinde amesema tayari asilimia 80 ya wanafunzi…
BY ISAYA BURUGU,23RD FEB,2023-Maafisa wa polisi kaunti ya Homa Bay wanamzuilia mwanamke wa miaka 23 anayetuhumiwa kumu ana kutupa mwili wa mtoto wake mchanga baada ya kumzaa nyumbani mwake katika mtaa wa Makongeni mjini Homa Bay. Mwanamke huyo alikamatwa baada ya wakaazi…
BY ISAYA BURUGU 23RD FEB,2023-Waziri wa Elimu katika serikali ya kaunti ya Narok Rotich Simotwo ametoa wito wakukomesha kabisa maswala ya ukeketaji na ndoa za mapema kaunti ya Narok. kwenye mahojiano ya kipekee na wandishi wa habari wakituo hiki ofisini mwake,Simotwo amesema…
Mvua inayotarajiwa kunyesha kati ya mwezi Machi na May mwaka huu haitafikia kiwango kinachohitajika ili kuokoa athari za kiangazi zinazoendelea kushuhudiwa humu nchini. Wanasayansi na watabiri wa hali ya hewa wameeleza kuwa mvua hiyo inatarajiwa kuwa chini ya milimita 400. Kwenye kikao…
BY ISAYA BURUGU,22ND FEB,2023-Mungano wa Azimio la umoja umeandaa maombi yakitaifa katika bustani ya Jevanjee jijini Nairobi.Kwa mjibu wa viongozi wa mungano huo, maombi hayo yanalenga kumsihi muungu kuinglia kati masaibu yanayowakumba wakenya yakiwemo gharama ya juu ya kimaisha na kiangazi.Hafla hiyo…
BY ISAYA BURUGU 22ND FEB,2023-Waumini wa kanisa katoliki kote duniani hivi leo wameanza kipindi cha siku 40 cha mfungo na maombi. Kipindi hiki huanza siku ya jumatano ya majivu ambapo waumini haswa wakristu hudhuria ibaada ya misa na kupakwa majivu ili kukumbushwa…
Mahakama ya kutatua migogoro ya maswala ya kisiasa nchini imesitisha uamuzi wa kubanduliwa kwa seneta wa kaunti ya Isiolo Fatuma Dullo kama mnadhimu wa walio wachache katika bunge la seneti. Naibu Spika wa Bunge hilo Kathuri Murungi, ameeleza kwamba amepokea tangazo kutoka…
Kikosi cha wanajeshi wa KDF kinatarajiwa kuongoza shughuli za ujenzi wa uga wa Moi katika kaunti ya Embu, katika juhudi za kuharalkisha mchakato wa matayarisho kwa ajili ya sherehe za Maadhimisho ya siku ya Madaraka tarehe mosi mwezi Juni mwaka huu. Makatibu…