Idara ya Upelelezi wa Jinai DCI imemuamuru wakili Danstan Omari kufika kwenye makao makuu ya idara hiyo na kuandikisha taarifa kuhusiana na tuhuma za uvamizi wa polisi katika nyumba ya aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang’i. Katika barua iliyoandikwa Februari…
BY ISAYA BURUGU,21ST FEB,2023-Rais William Ruto ametoa wito kwa mungano wa ulaya kutamatisha makubaliano kadhaa ya kiuchumi kati yake na jumuia ya nchi za afrika mashariki ili kuiwezesha Kenya kupanua uwezo wake wa uzaji bidhaa zake nje ya nchi. Rais amesema hayoleo…
BY ISAYA BURUGU 21ST FEB,2023-Mahakama kuu imeairisha utoaji umauzi kuhusu iwapo au la faili a kesi dhidi ya mwendesha maagari ya mashindano yaani rali Maxine Wahome itafungwa kwenye kesi inayohusu mauaji ya mpenziwe Assad Khan. Mwendesha Rally Maxine Wahome katika mahakama ya…
Mahakama ya juu nchini Imewazuia wakenya wanne walioteuliwa na Rais William Ruto katika Baraza la Kitaifa la Mabadiliko ya Tabianchi (NCCC) dhidi ya kutwaa wadhifa huo, hadi pale kesi iliyowasilishwa dhidi yao itakapoamuliwa. Jaji Mugure Thande mapema leo alitoa Maagizo ya kusitisha…
Kamishna wa tume huru ya uchaguzi na mipika nchini IEBC aliyesimamishwa kazi Irene Masit hivi leo amehudhuria kikao cha mwisho cha kujitetea mbele ya jopokazi lililobuniwa na rais Wiliam Ruto kuchunguza matukio yaliyojiri tarehe 15 mwezi Agosti mwaka jana wakati wa kutangazwa…
Kamishana wa kaunti ya Narok Isaac Masinde amewataka wanafunzi kufanya bidii kwenye masomo yao na kuwatii walimu pamoja na wazazi wao. Akizungumza alipokuwa akipokea ufadhili kutoka kwa wakfu wa Jomo Kenyatta Masinde amesema wanafunzi wapatao 67 kutoka kaunti hii ya Narok wamenufaika…
BY ISAYA BURUGU 20TH FEB 2023-Biwi la simamzi limekumba eneo la ting’a Eneo bunge la mugirango magharibi kaunti ya Nyamira baada ya mwalimu mmoja kujiua kutokana na madai ya kulaghaiwa shilingi milioni moja unusu. Josec Ondere mwenye umri wa miaka 38 alikuwa…
BY ISAYA BURUGU,20TH FEB,2023-Wezi wa mifugo eneo la Olmelil Trasmara magharibi wameonywa kuwa chuma chao kimotoni.Akiwahutubia wenyeji wa Olmelil katika mipaka ya kaunti ya Narok na kaunti ya Nyamira chifu wa eneo la Kapune Emmanuel Nakuso amesema serikali haitawasaza wanaojihusisha na wizi…