Rais William Ruto aliongoza taifa kuomba kwa ajili ya mvua.

Viongozi mbalimbali wa kidini nchini walikusanyika katika uwanja wa Nyayo kuanzia asubuhi ya leo, kwa hafla ya maombi yaliyoandaliwa kwa nia ya kuliombea taifa. Viongozi wa serikali wakiongozwa na Rais William Ruto na Naibu wake Rigathi Gachagua walihudhuria hafla hii ambayo dhima…

Viongozi wa COTU wakutana na Rais Ruto kujadili njia za kuunda nafasi zaidi za kazi.

Kiongozi wa taifa Rais William Ruto, ametoa changamoto kwa usimamizi wa chama cha kutetea maslahi ya wafanyikazi nchini COTU, kubadilisha mtazamo wake wa mambo na kuanza kushughulika ili kuhakikisha kuwa wanatengeneza nafasi nyingi zaidi za ajira. https://twitter.com/AtwoliDza/status/1625432654060421120?s=20 Rais amependekeza njia hii kama…

Ofisi ya msajili wa vyama vya kisiasa yakubali mabadiliko yaliyofanywa na chama cha jubilee.

Ofisi ya msajili wa vyama vya kisiasa imekubali mabadiliko yaliyofanywa na chama cha jubilee ambapo katibu mkuu wa chama hicho Jeremiah kioni Pamoja na naibu mwenyekiti David Murathe waling’atuliwa mamlakani na viongozi wa chama hicho waliokutana na rais William Ruto. Kupitia taarifa…

Vikao vya bunge la kitaifa na seneti kurejelewa tena siku ya Jumatano.

Vikao vya bunge la kitaifa na lile la Seneti vinatarajiwa kurejelewa tena hio kesho, baada ya likizo ya yapata mwezi mmoja. Shughuli za siku katika bunge la kitaifa zinatarajiwa kuanza kwa mwendo wa kasi, hasa ikizingatiwa kuwa wabunge wataanza kujadili huhusu mapendekezo…

Joto kali litaendelea kwa muda zaidi Idara ya utabiri wa anga yasema

Kipindi cha joto kinachoshuhudiwa nchini kinatarajiwa kuendelea kwa muda Zaidi. Idara ya utabiri wa hali ya anga nchini, imesema katika ripoti yake ya utabiri wa siku saba zijazo, ikiweka wazi kuwa kipindi hiki kitaendelea hadi tarehe 20 mwezi huu. Taarifa hiyo imetoa…

Kampuni za mawasiliano kuanza mpango wa kutengeneza simu za kisasa za bei nafuu.

Waziri wa habari, mwasiliano na uchumi wa kidijitali Eliud Owalo ameeleza kuwa Serikali imewezesha mchakato ambapo kampuni za mawasiliano zitakusanyika pamoja, licha ya kuwa washindani sokoni, na kuanza mpango kabambe wa kutengeneza simu za kisasa za bei nafuu katika soko la Kenya.…

Kenya yaungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya redio,kauli mbiu ikiwa redio na amani.

Kenya imeungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya redio,kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa redio na amani. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku hii yaliyoandaliwa katika kaunti ya Mombasa, mwenyekiti wa baraza la vyombo vya habari David Omwoyo amewahimiza waandishi wa habari, kutumia…

MCK yaitisha picha za maafisa wa polisi waliozingira boma la Matiang’i.

Baraza la vyombo vya habari nchini limetaka vituo vya habari kutoa idhibati ya picha au kanda za video zinazoonyesha maafisa wa polisi waliozingira boma la Waziri wa zamani wa maswala ya ndani Dkt. Fred Matiang’i. Katika barua yake MCK imeeleza kuwa taarifa…