Baraza la Magavana lahimizwa kuharakisha malipo ya bili ambazo hazijakamilika.

Naibu Rais Rigathi Gachagua amehimiza Baraza la Magavana (CoG) na mashirika ya serikali kuharakisha malipo ya bili ambazo hazijakamilika za mwaka wa kifedha wa 2022/23. Akizungumza wakati wa mkutano uliojumuisha baraza la magavana, mashirika ya serikali na maafisa wakuu serikalini, Gachagua alisema…

KMPDU Doctors-one-month-ultimatum-over-comprehensive-medical-insurance

KMPDU Watoa Ilani ya Mgomo Kulalamika Kuondolewa Kwa Ufadhili Wa NHIF.

Muungano wa Wahudumu wa Afya na Matabibu wa Meno nchini (KMPDU) umetoa ilani ya kuandaa mgomo wa kitaifa kuanzia mwezi Machi, kufuatia kuondolewa kwa ufadhili wao uliokuwa katika mpango wa bima ya Afya NHIF. Kupitia waraka uliotumwa kwa Wizara ya Afya, KMPDU…

Serikali yapata pigo jingine baada ya kusitishwa kwa hatua ya kupelekwa kwa maafisa wa polisi 1,000 nchini Haiti.

Serikali imepata pigo jingine baada ya Mahakama kuu kusitisha hatua ya kupelekwa kwa maafisa wa polisi 1,000 nchini Haiti, ikisema hatua hiyo ni kinyume cha sheria. Akitoa agizo hilo , jaji Chacha Mwita, alisema baraza la usalama la kitaifa halina mamlaka ya…

Ushuru wa nyumba za bei nafuu watupiliwa mbali na mahakama ya Rufaa.

Wakenya wamepata afueni baada ya Mahakama ya Rufaa kudinda kusitisha amri ya Mahakama Kuu iliyotangaza ada ya nyumba za bei nafuu kuwa ni kinyume cha katiba. Katika uamuzi uliotolewa asubuhi ya leo, majaji wa Mahakama ya Rufaa Lydia Achode, John Mativo na…

Mtu mwenye ugonjwa wa macho mekundu

Wizara ya Afya Yathibitisha Kuzuka kwa Ugonjwa wa Macho Mekundu Mombasa.

Katibu katika wizara ya afya Mary Muthoni amethibitisha kuzuka kwa ugonjwa wa macho mekundu au almaarufu (conjutivitis/Red eye Disease) katika Kaunti ya Mombasa. Katika taarifa iliyochapishwa na wizara ya afya siku ya Alhamisi, Katibu huyo wa idara ya afya ya Umma na…

Naibu rais Rigathi Gachagua aendelea kukashifu vita vya kisiasa vinayoshuhudiwa katika eneo la mlima Kenya.

Naibu rais Rigathi Gachagua ameendelea kukashifu vita vya kisiasa vinayoshuhudiwa katika eneo la mlima Kenya akisema kuwa vita hivyo ni vya kutawanya eneo hilo badala ya kujenga. Akizungumza katika kaunti ya Nayndarua, Gachagua amewataka viongozi wanaoendeleza siasa hizo kuwatumikia wananchi ikizingatiwa kwamba…

Afisa wa Watoto Narok. Pilot Khaemba

Idara ya Watoto ya Kaunti ya Narok Yaitaka Serikali Kusajili Vituo vya DayCare.

Idara ya Watoto katika Kaunti ya Narok imetoa wito kwa serikali ya kaunti kuhakikisha kwamba vituo vya kuwatunza watoto wadogo wakati wa mchana, maarufu kama DayCare, vimesajiliwa na vinakidhi viwango vya kisheria. Hatua hii inalenga kuhakikisha usalama na ulinzi wa watoto, baada…

Jaji Mkuu nchini Akutana na Rais Ruto

Jaji Mkuu Akutana na Rais Kutatua Uhasama Kati ya Serikali na Idara ya Mahakama.

Jaji Mkuu nchini Martha Koome, na Rais William Ruto wamekutana leo katika ikulu ya Nairobi, katika mkutano ambao unalenga kumaliza mgogoro kati ya serikali ya kitaifa na idara ya mahakama. Mkutano huo unajiri siku chache baada ya matamshi ya hadharani kutoka kwa…