Bajeti ya taifa ya mwaka ujao wa kifedha inatarajiwa kuongezeka kwa shiling bilioni 251, na kufikia shilingi trilioni 3.6, kwa mujibu wa Nakala rasimu ya bajeti hiyo iliyotolewa, kabla ya kusomwa kwa bajeti ya taifa mwanzoni mwa kipindi kijacho cha fedha kuanzia…
Wananchi katika kaunti ya Narok wataendelea kushuhudia vipindi vya ukame katika kipindi kilichosalia cha mwezi huu wa Februari, kabla ya kuanza kwa mvua fupi mwezi ujao. Mkurugenzi mkuu wa idara ya utabiri wa hali ya hewa katika kaunti ya Narok Bw. Peter…
Mahakama ya Ajira na leba imetupilia mbali kesi ya kupinga uteuzi wa makatibu waratibu wa wizara mbalimbali. Ombi hilo liliwasilishwa na Chama cha Wanasheria nchini LSK, kwa misingi ya kutoshirikishwa ipasavyo kwa umma na Tume ya Utumishi wa Umma PSC na kwamba…
BY ISAYA BURUGU ,16TH FEB,2023-Wito umetolewa kwa Wanafunzi katika shule mbali mbali eneo la Narok Kusini kujitahidi na kuanya bidi katika masomo yao ili waweze kuandikisha matokeo bora.Wito huu umetolewa na mkurugenzi wa elimu eneo la Narok kusini Sankale Ole Sendero .…
Kanisa katoliki nchini lmepata jimbo mpya hivi leo, na hii ni baada ya Kiongozi wa kanisa katoliki nchini Papa Francis kuinua hadhi ya Vikariate (Vicarate) ya Kitume ya Isiolo kuwa jimbo katoliki la Isiolo. Katika tangazo lililochapishwa kwenye mtandao wa kikatoliki wa…
Papa Mtakatifu Francisko amemteua padre Cleophas Oseso Tuka, kama Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Nakuru. Taarifa za Uteuzi wa padre Oseso zilichapishwa rasmi katika gazeti la Vatican la L’Osservatore Romano mnamo tarehe 15 Februari 2023 saa 12.00 adhuhuri kwa saa za…
BY ISAYA BURUGU 15TH FEB 2023-Rais mstaafu Uhuru Kenyatta ameteuliwa kuongoza ujumbe wa wanachama 90 kutoka mungano wa Afrika wataokuwa wangalizi wa uchaguzi mkuu nchini Nigeria. Uchaguzi huo unaratibiwa kufanyika tarehe 25 mwezi huu.Kupitia taarifa Au imesema Kenyatta ataongoza ujumbe huo wa…
Viongozi mbalimbali wa kidini nchini walikusanyika katika uwanja wa Nyayo kuanzia asubuhi ya leo, kwa hafla ya maombi yaliyoandaliwa kwa nia ya kuliombea taifa. Viongozi wa serikali wakiongozwa na Rais William Ruto na Naibu wake Rigathi Gachagua walihudhuria hafla hii ambayo dhima…