BY ISAYA BURUGU,11TH FEB,2023-Visa vya ndoa na mimba za mapema vinaendelea kushuhudiwa katika maeneo ya mashinani Kaunti ya Narok kutokana na wazazi wa watoto wanaodhulumiwa kuungana na wale ambao wanatekeleza maovu hayo kwenye jamii. Haya ni kwa mujibu wa kamishna wa Narok…
Chama cha KANU kimetangaza kuwa kimeamtimu aliyekuwa katibu mkuu wa chama hicho Nick Salat kutoka kwa wadhifa huo, kwa kile kilichotajwa kama kukiuka mwongozo wa maadili ya chama. Katika waraka uliochapishwa na chama cha KANU kupitia mkurugenzi wa mawasiliano katika chama hicho…
Rais William Ruto amejitolea kutoa pesa kwa wakati kwa serikali za kaunti akidai kuwa hatua hiyo itaharakisha ukuaji wa ugatuzi na kurahisisha utoaji huduma. Akizungumza wakati wa Mkutano wa 9 wa Kitaifa na Uratibu wa Kaunti unaoendelea kule Naivasha kaunti ya Nakuru,rais…
Himizo limetolewa kwa wanaosimamia miito kanisani kuwaelekeza vijana katika njia bora za kikristu, ili wawe vielelezo bora katika jamii kadhalika kupata mapadre wengi kwenye siku za usoni. Akizungumza na idhaa hii baada ya kuwahutubia mapadre wa jimbo katoliki la Eldoret katika kituo…
BY ISAYA BURUGU,10TH FEB,2023-Hazina ya kitaifa ya malipo ya uzeeni NSSF sasa inawataka waajiri kuheshimu mara moja agizo la mahakama linalowataka kuongeza kiwango cha fedha wanazowatoza wafanyikazi wao kuelekea kwenye hazina hiyo kila mwezi. Kupitia taarifa iliyotolewa leo mwenyekiti wa hazina hiyo…
BY ISAYA BURUGU,10TH FEB 2023-Serikali ya kaunti ya Narok kwa ushirikiano na serikali ya kitaifa inalenga kuwasajili wakulima wapatao 188,000 wakati wanasubiri kupokea mbolea ya bei nafuu kutoka kwa serikali. Kamishna wa kaunti ya Narok Isaac Masinde akiwahutubia wenyeji wa Shangoi eneo…
Askofu wa Jimbo katoliki la Ngong John Oballa Owaa, amewarai wanafunzi katika shule za upili, kujiepusha na mienendo ya ulimwengu wa sasa, inayowaelekeza katika mambo yanayomchukiza mwenyezi Mungu, na hasa mahusiano ya jinsia moja. Katika tafakari yake kwenye hafla ya kubariki Mnara…
Kenya na Eritrea zimefikia uamuzi wa kukomesha mahitaji ya visa kati ya mataifa hayo mawili. Rais William Ruto na mwenzake wa Eritrea Isaias Afwerki hii leo walifanya mazungumzo baina ya nchi hizo mbili mjini Nairobi, ambapo walikubaliana kuandaa mipango ya kina ya…